Mary Emmanuel Mollel: Usalama wangu uko hatarini baada ya kumfungulia kesi ya madai msanii Marioo

Nanyor

Member
Joined
Oct 27, 2024
Posts
9
Reaction score
11
Mkurugenzi wa Kismaty Advert Media Company Ltd, Bi Mary Mollel, mfanyabiashara kutoka mkoa wa Arusha, amekimbilia Umoja wa Mataifa kuomba msaada kutokana na hofu ya usalama wake na wa familia yake. Bi Mollel anadai kuwa tangu mwaka 2022 amekuwa akipokea vitisho mbalimbali, hali iliyosababisha ndugu zake wawili kuuawa kikatili mwaka uliofuata, mara tu baada ya kutoa taarifa kwa Jeshi la Polisi mkoa wa Arusha.

Amesema kuwa licha ya kuomba msaada, bado hajakata tamaa, ingawa anaamini uongozi wa juu huenda haujui kuhusu hali yake kutokana na baadhi ya viongozi wanaodaiwa kuhusika katika uhalifu huo kuzuia upatikanaji wa msaada. Katika barua yake ya awali kwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, Bi Mollel aliweza kufafanua chanzo cha matatizo yanayomfanya aishi kwa kujificha kwa zaidi ya miaka mitatu.

Aidha, kwenye barua hiyo, aliwataja baadhi ya viongozi pamoja na msanii Marioo na uongozi wake, ambao walifungua kesi ya madai dhidi yake, hali iliyomlazimu kuishi kwa tahadhari kubwa.



 
Kumbe ana mabifu na watu hivi? Halafu anamtuhumu Chino kumuwekea sumu.
 
Pole
Pole sana Kwa changamoto hii nchi naona kutekana na kuuana imeshakua solution ya kumdhulumu mtu. Ushauri wangu hapo muone Makonda na pia nenda ofisi za TLS kuwaeleza kuhusu hao wanasheria wanaokuja ndumilakuwili maana section 4 haisemi mwanasheria kuwa kigeu geu. Pia wadau wenye access na mwabukusi wampe hii
 
Hana nguvu yeyote na mdomo wake kama govi.........ila na wewe mary mzembe sana..............tia jini hao kuanzia huyo mwanasheria baunsa........mmbeya .......kikodwo mshambenga .........mbeba kibegi sijui jaji mpaka karani.............yaani hakikisha hakuna anayepumua mpaka kufika disemba hii...................wote yaani wote waliokuwa kwenye supply chain ...............hakikisha wote .......kwa mungu ndio utakapokwenda kuomba radhi..........mnajifanya hamuwajui waganga sasa hivi kwenye mambo seriously lakini kwenye kutafuta utajiri aaaah hata kumtoa mama yako au baba yako sadaka unaweza ..........sasaa unakwamaje kidhembe hivyo.........shauri yako lakini.......maana huyo raisi umemtaja mara nyingi lakini kama atakuona sijui watu wako busy na uchaguzi unafikiri anakufikiria wewe.............mpaka miradi imepewa kisogo kwa ajiri ya joto la uchaguzi......................bora ungeomba tu kwa mungu ukishindwa jiripue
 
Mwandishi gani wa habari asiyejua kuandika??
Au ndio wenge la kuuawa??
Any way pole sista..ukishindwa kabisa waroge kenge hao.
 
Pole sana dada yangu Mary MUNGU MWENYEZI akusaidie sana akupiganie sana haki yako ipatikane

Hakuna kitu kitakachopita bure hata kama hii selikal ya mama samia haitakusaidia

Inua macho yako mtazame YESU KRISTO msalabani utashinda na hautoamian

Huyo kalist na huyo Mario utawaona kwa macho yako wakianguka

Muombe tu MUNGU usikate tamaa dada

Pole sana kwa kufiwa na bro zako wawili kifo kisikie kwa mtu mwingine au kwa jiran kisifike nyumban kwako

Pole sana
 
Kama ni kweli, basi kumbe haka ka MARIOO ni ka IBILISI eeh.. Vitu gani anafanya hivi.

Na kama ni kweli huu ni uthibitisho ni jinsi gani nchi imeoza, hakuna haki inayotendeka, sasa kama mkuu wa wilaya kahusika, viongozi wa ngazi ya juu ya jeshi la polisi ambao ndio wanajinadi kwa usalama wa raia na mali zao, inathibitisha kauli yangu NCHI YA KISENGE SAANA HII
 
ALIYEKUWA DC KALISTI LAZARO ATAJWA KUSHIRIKI UKATILI WA MAUAJI
 

Attachments

  • Screenshot_20241026-195545_Office.jpg
    145 KB · Views: 3
  • Screenshot_20241026-195535_Office.jpg
    208 KB · Views: 4
  • Screenshot_20241026-195527_Office.jpg
    226.2 KB · Views: 4
  • Screenshot_20241026-195520_Office.jpg
    165.6 KB · Views: 6
MARY Mollel; mkazi na Mfanyabiashara wa Mkoa wa Arusha, Amuomba Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kupata uhuru wake ,ndani ya miaka 3 anaishi kwa kujificha.
 

Attachments

  • VID-20241015-WA0005.mp4
    16.7 MB
  • Screenshot_20241026-195520_Office.jpg
    165.6 KB · Views: 9
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…