Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhandisi Maryprisca Mahundi Maryprica Mahundi akisukwa mtindo wa Jina la Rais Samia ikiwa ni sehemu ya shindano la Ususi hapa Mlimani City kwa Wasusi wakiandika majina ya Viongozi;