Masaa 10 ya Jehanamu nyumbani kwa Sister

 
Duuh
 
Soma uliyoyaandika,na itafakari vizuri utajua wewe ndio mwenye dosari
 
Huyo sister ana mume? Sinaona kwenye Uzi .
Kusema ukweli wewe ndio unezingua mjomba unatakiwa umfundishe dada yako jinsi ya kuoea watoto chapa sana mbele yake na waambie siku nikija mkifanya ushenzi nawachapa yaani chapa kwelikweli kama.huyo ninsistet ako wa damu na mme lelewa pamoja hawezi kukuchukia kusema ukweli swala la malezi linahitaji ushirikiano mimi hapa mtaani Kuna mama tunamwita shangazi ni mkali Hana masiahara watoto wakizingua anachapa balaa na hata siku moja hatukawahi kugombana tunamuheshomu Kama mtu mzima na anasaidia kusimamia malezi ya watoto kusema ukwelinuzunguuzungu ndio unatuharibia malezi wewe chapa na ongea na dada yako kwa ukali mkaripoe sana tu.
Swali' hao watoto wakiwa wakubwa wakiwnza kuvuta bangi au kufanya umalaya unadhani hata kuita kukuomba ushauri? Samaki mkunje angali mbichi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…