Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu usijali,litafanyiwa kazi vizuriVijana hakikisheni hapewi maji huyu
Akija huku ni mpya mkuu ๐๐๐๐๐
Ila nyingine ni used from 2008 huko sasa si mishangazi hiyo mkuu
Au nije straightSiwatishi ila kwangu mje na jambo la maana kutongozwa nishatongozwa sana na kaka, baba na babu zenu inatosha sasa
Kwa hiyo leo mimi nimekua kijana๐Siwatishi ila kwangu mje na jambo la maana kutongozwa nishatongozwa sana na kaka, baba na babu zenu inatosha sasa
Utarudi unachechemea majibu yangu yanamaliza nguvu za kiume shauri yenuAu nije straight
Bwana mdogo, ๐ ๐ ๐Kwa hiyo leo mimi nimekua kijana๐
Kwanza nimeghairi baada ya kuona statement " this member limits who can see their full profile "Utarudi unachechemea majibu yangu yanamaliza nguvu za kiume shauri yenu
Yani ukishaona hivyo kimbiaaaa utaangushiwa laanaKwanza nimeghairi baada ya kuona statement " this member limits who can see their full profile "
Utarudi unachechemea majibu yangu yanamaliza nguvu za kiume shauri yenu
Najikuta mamake yesu nimebarikiwa kuliko wanawake wote unategemea niwajibuje enyi wana wa Adamu?Ila si uwe unawapa
majibu mazuri mkuu
Basi atakuja mumoja atakuwa yusuph tuNajikuta mamake yesu nimebarikiwa kuliko wanawake wote unategemea niwajibuje enyi wana wa Adamu?
Majibu yanategemeana sana na mtu alivyonijia,
Uzuri huwa siyatilii maanani naweza kukupa faka sehemu kesho nimesahau nikikuta pengine tukachat vizuri tu,
Cougar on fleek.Kwa jina la "Mshangazi" wewe mwenyewe unataka kutongozwa.
Aah kwa Yusuph sipindui ukiniona km kuku mwnye mdondo ๐คฃ๐คฃ๐คฃBasi atakuja mumoja atakuwa yusuph tu
Over ๐
Huyu anaonekana ni mshangazi mjanja mjanja sio wale mabonge bonge big mamaz.Kwenye hio list mshamba_hachekwi hayupo kweli? Anapenda mishangazi huyo.
Hii sauti ina uhanga ndani yake. ๐Jifunze kuweka kufuli, humu kuna ID huzioni zikicomment, ila zinarandaranda PM tu. Utatongozwa na mtu mmoja mwenye ID zake 10. Mambo ni mengi humu, kama unga wa ngano.