and 100 others
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 3,707
- 12,367
Hao mabonge tunawaita 'lijishangazi'Huyu anaonekana ni mshangazi mjanja mjanja sio wale mabonge bonge big mamaz.
Halali yangu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao mabonge tunawaita 'lijishangazi'Huyu anaonekana ni mshangazi mjanja mjanja sio wale mabonge bonge big mamaz.
Halali yangu.
Mambo yako haya lucha nilitaka nikuite nikasema utakuja tuMshangazi mambo?
Asa anamind kitu ganiMshangazi kujiita tu hilo jina tayari ni tangazo tosha🤣
We naniii usiwaelekeze bhana kufunga pmJifunze kuweka kufuli, humu kuna ID huzioni zikicomment, ila zinarandaranda PM tu. Utatongozwa na mtu mmoja mwenye ID zake 10. Mambo ni mengi humu, kama unga wa ngano.
Ngoja tuning'inie nae humo pm, mpaka aite maji mma😅Asa anamind kitu gani
Basi me niwe yusuphAah kwa Yusuph sipindui ukiniona km kuku mwnye mdondo 🤣🤣🤣
Yupo ndio maana naringaBasi me niwe yusuph
Sasa unamringia yusuph na wewe tenaaaaYupo ndio maana naringa
ojaSafi sana shem wake
Nawaringia nyie wana wa Adamu😅😅Sasa unamringia yusuph na wewe tenaaaa
Mshangazi ndo kama hivi tunampa kampani asijione mpwekePamoja shem, tuendelee kumkaribisha mshangazi
oja
Kwa motoooo😅😅😅kumeanza kuchangamka
Mimi kama mtaalamu wa miandiko Kuna kitu nataka ku observe uzi wake kaandika kwa sauti ya kiume nasubiri replies ili ni confirm kama ni kweli au laaMambo yako haya lucha nilitaka nikuite nikasema utakuja tu
😂😂😂24/7 onlineKama Kuna id ya kike ya zamani haiko active kwa muda mrefu jueni imekuja kwa style hii..
Sijui kwanini huwa napenda mwanamke anae ringa 😅Nawaringia nyie wana wa Adamu😅😅
Okay okayNawaringia nyie wana wa Adamu😅😅
Wa hivi huwa hawa-reply utasubiri sanaMimi kama mtaalamu wa miandiko Kuna kitu nataka ku observe uzi wake kaandika kwa sauti ya kiume nasubiri replies ili ni confirm kama ni kweli au laa
Oyaa umesoma comment ya TAI DUME? 😂😂😂Sijui kwanini huwa napenda mwanamke anae ringa 😅