Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
Asaaaa mbona unacheka Bantu Lady ??? 😫😫😫
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unakitafuta kifo kwa nguvu sanaMimi ingependeza kama tungeanzahili battle pamoja au unasemaje😄
Nyie mwageni swaga acheni kujizungushaAlaf hata hatongozwi kaamua kuanzisha huu uzi ili kualika kutongozwa afatwe Pm angekua kweli anatongozwa na hapendi angefunga pm
Sure, nilishakaa na mdada anaringa ,mboga kama tano hivi ,mimi ndio wale wa Tonge na mboga😄 zaidi ya miaka 7 , baada ya kufariki ndio tukaachana 😭😭Utakuwa mvumilivu sana kwenye vitu vingi kimaisha
Eeeh, mtoto wa mwenzio ni wako pia 😹Mnalea
😆😆😆Na ukumbuke battle likianza ni hospital kwanza kucheki manyemelezi😄kufa kuliumbwa kabuli tuta au ww utabaki mileleUnakitafuta kifo kwa nguvu sana
Hajauona bado akija tu naye inakuwa IMOOHivi dogo Poor Brain umeuona huu uzi ? Wa Mshangazi ???
Mkuu , mimi naelekea kuwa babu sasa 😅
Naomba uniletee tafuazari 😆Eeeh, mtoto wa mwenzio ni wako pia 😹
Mi mlinzi wa dunia, yani katika vitu siwezi ni kuwa na kibenten😆😆😆Na ukumbuke battle likianza ni hospital kwanza kucheki manyemelezi😄kufa kuliumbwa kabuli tuta au ww utabaki milele
Anhaaa daah kumbe Lakin ng'ombe hazeeki Maini mkuu😂😂😂😂Mkuu , mimi naelekea kuwa babu sasa 😅
Ufukuzie tuMbona Mshangazi umekimbia tena ?🤣🤣🤣
Mshangazi simwoni wala mshamba_hachekwi 😅😅😅Mbona Mshangazi umekimbia tena ?🤣🤣🤣
Size ya kiuno ngapi nkununulie vikaptula kwanzaNaomba uniletee tafuazari 😆