Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
π π π badoNa wewe wamekuchangamshaa?? πππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
π π π badoNa wewe wamekuchangamshaa?? πππ
Hawa memba mpya wasumbufu kweli watakujia tu ππππ π π bado
Hao zamani walikuwa wapenzi watizamaji, jf wamecheza sana na hii sheria mpya.Mkuu kuna membaz wengi wapya aiseee, kuanzia jana ni vurugu tupu
Ukute Kuna mtu hajaelewa hili Tangazo...ππ
Eeeh mkuu afadhali maana kuna siku huwa HAKUELEWEKI humu ndaniHao zamani walikuwa wapenzi watizamaji, jf wamecheza sana na hii sheria mpya.
Nimeona kuna warembo wengi, ni kuchangamkia fursa.
Wewe lishangazi si upo single lakini?Ni kama miezi 3 kwenye social networks nyingine.
Ila JF vivulana vinatongoza sana PM.
Ni kama vimetumwa kunijaribu.
Tangazo limekaa kimkakati sanaaa π unakwama wapi?Nieleweshe basi ππ
Ushwahi sikia iron boys ndo mm sasa yaan very very slow learnerTangazo kimekaa kimkakati sanaaa π unakwama wapi?
πTangazo limekaa kimkakati sanaaa π unakwama wapi?
Mlango nilitoa nikajenga ukuta mreeefu sana isitoshe hawatafurahishwa na majibu yanguHawa memba mpya wasumbufu kweli watakujia tu πππ
Maana wewe kwa majibu mmmh hapana kwa kweliMlango nilitoa nikajenga ukuta mreeefu sana isitoshe hawatafurahishwa na majibu yangu
Kuna mmoja juzi kakuta nina mvurugiko wa homoni alitaka kujua naishi wapi, jibu nililompa sidhani km atarudia kunitumia sms teeenaMaana wewe kwa majibu mmmh hapana kwa kweli
Afu ngoja nikuulize swali, kwann wewe ukiwa online nyamwi anakuwa offline na yeye akiwa online wewe unapoteaTangazo limekaa kimkakati sanaaa π unakwama wapi?