Masaa 24 ndani ya JF (Personal opinion)

Masaa 24 ndani ya JF (Personal opinion)

Ni kama miezi 3 kwenye social networks nyingine.

Ila JF vivulana vinatongoza sana PM.

Ni kama vimetumwa kunijaribu.
Hakuna wingi wa saa.
Hivyo andika tu .. Saa 24 ndani..........
Hii ndiyo faida mojawapo ya Jf.
Unajifunza kila fani.
 
No kutongoza kawaida , mimi pia natongoza mno pm mkuu😅
Nimemuona bonge la Phaller huyo raia, anatafuta attention kwetu halafu anakuja tena anatusagia tena kugeuza nyekundu kuwa njano???🤣🤣🤣
 
Nimemuona bonge la Phaller huyo raia, anatafuta attention kwetu halafu anakuja tena anatusagia tena kugeuza nyekundu kuwa njano???🤣🤣🤣
Unamchukulia kawaida tu halafu ,upendo unabaki mahali pake mkuu😊
 
Back
Top Bottom