Masahihisho kwa Wapotoshaji: Mdude Nyagali aliishinda Serikali Mahakamani, hakutolewa jela kwa Msamaha wa Rais

Kuishinda serikali Afrika? Kula pop corn uangalie movie
 
Asante Mkuu kwa kuliweka sawa hilo.

Wembe ni ule ule.
Kweli kabisa na uko sahihi - wembe ni ule ule - ila anayeutumia majira haya ni SSH siyo JPM na makali, unyoaji, ukataki na uparazaji ni ule ule; kama unabisha au huamini basi kamuulize Chairman Mbowe au Deputy wake Tobo au Kiongozi Mkuu wa ACT - Wananchi, ndugu Nyepesi! Hao wanajua ukweli wote.
 
Mbona mbunge wa Chadema mh Nusrat Henje naye alibambikiwa kesi lakini hatukani hovyo!
Nusrat ni mbunge wa ccm hata macho kumchuzi anajua hilo,ccm 2020 ilishinda viti vyote ...labda atakua mbunge wa chadema ya chato kilimani
 
Very well articulated, sio lazima wao watende kama wale. So kwa sababu CCM imeiba na wao wanataka kutuaminisha kwamba wakipewa nchi wataiba so ndio?
 
Anajua akina Kibatara watamtetea tena! Stupid arrogance.

Rais anakosolewa kwa staha, kuheshimu Mkuu wa nchi ni lazima hata vitabu vya dini vinaelekeza. Huwezi kuzungumzia Rais kama unaongea na wahuni.
Yeye Ndio amefanya wasimuheshimu, anawambembeleza Kama Nini, wacha wamvuruge tu
 
Kinachofurahisha Ni kuwa like jambazi lililomtenda vibaya Mdude Sasa hivi linaliwa kwa mpalange na shetani huko kuzimu, mwambie Mdude anicheki PM tuonane tukanywe bia maana shangwe la kufa pombe litahitihimishwa mwezi March 2022.
 
sasa wewe mjaze maujinga yako kuwakaishinda kesi siunaona tena ameanza kudemka? mwache alitafute tena ataenda kukaa ndani na nyie mtaendeleakuweka hashtag zenu mkiwa nje mmelala la waume zenu mwenzenu anatafunwa nyuma huko endeleeni kumjaza ujinga tu baadae ndiyo majuwakama alishinda kesi au alihurumwa tu
 
Huna hoja !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…