Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
hamna shida mkuu...pamojaAsante....bado najifunza kiswahili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hamna shida mkuu...pamojaAsante....bado najifunza kiswahili
ni sawa kuanzia kunuka na kukosa ustaarabu, nawajua vema, Arusha mjini kuna mtaa nimeusahau jina wanaishi wamasai wengi sana, yani barabara nzima ni mate yao tu ptyuuu...KWAKO NDIO UNAONA SAWA KWASABABU HAUJUI KUBALI UELIMIKE
nikuanzisham gari LA maasai tu!Jana nlikuwa na safari ndefu kidogo kutoka Babati kupitia kondoa,Dodoma ,Iringa tobMbeya,safari iligeuka mwiba baada ya kufika Kondoa walipanda masai watano,kwenye hao watano watatu ni watu wazima akiwemo mwanamke mmoja hao wengine wawili ni watoto kama miaka 9 na 5,mimi nilikaa siti ya nyuma kabisa na wao walipoingia wakaletwa wote kule nlipo,wale jamaa hawajawahi ona maji nafikiri tangu mwaka uanze,,[emoji58][emoji58][emoji58][emoji58]abiria aliyekaa mbele analalamika sasa piga picha mimi niliyekaa nao du hee,wanajamba full time kwa kupokezana hivi akuna jinsi ya kuweza kuwasaidia kweli,siti ya tatu kutoka nlipo kakaa mama mjamzito ni kutaapika njia nzima (Shikamooni masai).