Masai jana mliniweza na shikamooni popote mlipo

Masai jana mliniweza na shikamooni popote mlipo

KWAKO NDIO UNAONA SAWA KWASABABU HAUJUI KUBALI UELIMIKE
ni sawa kuanzia kunuka na kukosa ustaarabu, nawajua vema, Arusha mjini kuna mtaa nimeusahau jina wanaishi wamasai wengi sana, yani barabara nzima ni mate yao tu ptyuuu...
Labda wamasai wa mjini wavaa jeans ila hao wengine hawana ustaarabu
 
Jana nlikuwa na safari ndefu kidogo kutoka Babati kupitia kondoa,Dodoma ,Iringa tobMbeya,safari iligeuka mwiba baada ya kufika Kondoa walipanda masai watano,kwenye hao watano watatu ni watu wazima akiwemo mwanamke mmoja hao wengine wawili ni watoto kama miaka 9 na 5,mimi nilikaa siti ya nyuma kabisa na wao walipoingia wakaletwa wote kule nlipo,wale jamaa hawajawahi ona maji nafikiri tangu mwaka uanze,,[emoji58][emoji58][emoji58][emoji58]abiria aliyekaa mbele analalamika sasa piga picha mimi niliyekaa nao du hee,wanajamba full time kwa kupokezana hivi akuna jinsi ya kuweza kuwasaidia kweli,siti ya tatu kutoka nlipo kakaa mama mjamzito ni kutaapika njia nzima (Shikamooni masai).
nikuanzisham gari LA maasai tu!
 
Back
Top Bottom