Masaki, Dar: Adam Malima atishiwa kwa Bunduki, Risasi zarindima kama Njugu

Mchana huu pamesikika milio ya risasi maeneo ya Masaki karibu na Double tree Hotel.
Yalikuwa ni majibizano kati ya Majembe Auction Mart waliokuwa wameambatana na Polisi walipojaribu kukamata gari lilokuwa limeegeshwa pembeni ya barabara hali ya kuwa Dereva yupo ndani.
Inasemekana gari lilikuwa la Mwanae kigoma Malima aliyeenda IOM kufatilia ishu zake.
Mtu wa Majembe akavamia gari hilo na alipodaiwa kuonyesha vitambulisho aligoma kutoa ndo wananchi walipolizingira gari wakitaka kumpiga wakijua ni jambazi.
Polisi aliingilia kati na katika majibizano akafyatua risasi juu kumtishia Ndugu Malima aliyekuwa hana hata siraha wala hakukuwa na mwananchi aliyekuwa na siraha.
Video na Upload soon
Duu hizi bunduki mbona zinatumika vibaya?
 
kaka ya 2 bado tu
 
enzi zile ualimu na uaskari ulikua option ya mwisho lzm hapo vi/.,.'za wawepo, wazito kufundishika na kuelewa mambo
Umenikumbusha mbali sana, mwaka 1992 yalipotoka matokeo yetu ya O-Level kuna jamaa yangu alikua amepata Division Four basi mzee wake kwa hasira akasema "hata sitaki kusikia mambo ya ku re-sit naliacha liende Polisi ili likajiendeleze lenyewe mbele ya Safari kama linadhani kulipa ada ni lelemama"
 
Back
Top Bottom