Masaki, Dar: Adam Malima atishiwa kwa Bunduki, Risasi zarindima kama Njugu

mwenzake alikuwa anatuliza jazba ila he had a reason ya kuwa na jazba kama husikilizwi unapotoa amri halali
Hata mimi siwapendi polisi ila kuna mahali siwapendi viongozi wanaojidhani ni above the law
 
Daah serikali inabidi iishughulikie hili swali risasi zinapotea bure na hizo ni kodi zetu .polisi watatuuwa
 
Jamaa inanyesha ni msambaa [emoji16]

Kazoea kuvuta bangi ya mbagala sasa leo sijui nani kamvutisha ya chugga.

Akija kuangalia hiyo video baadae anaweza asiamini macho yake.
 
Reactions: 247
Polisi alikuwa anatafuta nini pale? Na baada ya kujua kwamba eneo ni salama walifanya nini? Nataka kujua chanzo cha hili " zogo" ni nini?
 
Kwa Matumizi Haya Ya Hovyo Hovyo Ya Silaha
Ni Hatari Sana Kwa Askari Lakini Pia Wananchi Tujitahidi Kujua Nguvu Ya Umma Ni Kubwa Kuliko Silaha.
Utemi Haufai Popote Pale!!!!


Hata wanachi wanazo silaha, tusipo angalia itakuwa ni kuwahiana sasa! Polisi hapewi silaha ili atishie namna hiyo. Kuna situation ambapo hubidi kutumia. What I can see kuna hali ya mtafaruku kati ya raia na polisi.
 
Duh uzi huu hata kulike comment unaogopa maana jamaa wengi wamemwaga mboga.....jiwe gizani hilo
 
Aisee,ni kweli wangesema polisi kaua jambazi,angekua mlalahoi.haogopwi mtu saiv,tutaheshimiana tu!..
 
Jamaa anaongea kwa uchungu mpk ataka kulia, Magu muonee huruma apande kdg apunguze stress..
 
Kila Police ni serikali?mmh only in tz
 
Unaelewa Principles Na Maadili Ya Matumizi Ya Silaha? Hata Kama Malima Alidharau, Yule Polisi Kakosea, Hakukuwa Na Ulazima Wa Kufyatua Risasi, Vp Madhara Kwa Wananchi?
Hii ishara ya kufyatua risasi hewani unaelewa vema mkuu???kama kudhuru raia asingepiga hivyo
Hakuna hawa askari hua wanakurupuka sana wakishakua tu na hivo vibunduki wanajua watu watawaogopa.
 
Wao kwa wao.ila Polisi wawe makini zaidi kutumia busara mahali panapowekana.Wananchi pia tunapaswa kujiongeza katika kuelewa mambo,pengine kuna mtu alimsaidia na kumtetea alipopiga hiyo binduki...
 

Lakini tunasikia maneno kutoka kwa police anasema, kwanini hamtaki kuheshimu serikali? I would have diagnosed this to understand whats going on...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…