Themagufulianz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2017
- 4,548
- 1,988
mwenzake alikuwa anatuliza jazba ila he had a reason ya kuwa na jazba kama husikilizwi unapotoa amri halaliHivi kuheshimu Serikali au kuigopa Serikali?? Kwanini mwenzake alimwambia aache?Alijua wanamakosa.Ifike mahali pande zote mbili ziheshiamiane.Polisi lazima waheshimu RAIA na RAIA waheshimu polisi bila polisi kuheshimu RAIA hakuna kujeshimiana.Angeua RAIA wange sema polisi kaua Jambazi Sugu.
Mbona enzi za JKN huu upumbavu ilikuwa hakuna.Ushenzi huu upo awamu hii tu kisa polisi aogopewe.
Hata mimi siwapendi polisi ila kuna mahali siwapendi viongozi wanaojidhani ni above the law