Masaki, Dar: Adam Malima atishiwa kwa Bunduki, Risasi zarindima kama Njugu

Duu hizi bunduki mbona zinatumika vibaya?
 
kaka ya 2 bado tu
 
enzi zile ualimu na uaskari ulikua option ya mwisho lzm hapo vi/.,.'za wawepo, wazito kufundishika na kuelewa mambo
Umenikumbusha mbali sana, mwaka 1992 yalipotoka matokeo yetu ya O-Level kuna jamaa yangu alikua amepata Division Four basi mzee wake kwa hasira akasema "hata sitaki kusikia mambo ya ku re-sit naliacha liende Polisi ili likajiendeleze lenyewe mbele ya Safari kama linadhani kulipa ada ni lelemama"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…