Mbona umekuwa mkali sana mkuu?ulimsikia askari aliyefyatua risasi akiongea kwa uchungu "kwanini hamuheshimu serikali??"
Tanzania viongozi wanajiweka matiti mbele na usiye kiongozi unanyanyaswa.
Wote tuwe watii wa sheria......tusiwaangalie polisi kwa makengeza kwakuwa kila mara wako wrong
Askar alishakoki bunduki watu wakasambaa inakuwaje anafyatua risasi juu???Huyu askari ametumia busara sana kupiga risasi juu kuwatawanya hao watu na hana kosa kupiga risasi juu angekuwa amemrenga au amemnyoshea mtu hapo ingekuwa makosa lakini inaonyesha nia yake ni kuwatawanya ndio maana ameonyesha bunduki juu hakuwa na nia ya kudhuru mtu acheni siasa!!
Kwani Malima yupo juu ya sheria? Hata kama angekuwa nani alipaswa kutii amri ya askari. Haijalishi yeye nani. Swala la uheshimiwa ni baadae.Bora hiyo, kesho huyu mtu anakuwa promoted. Utaona.
mkuu katika maisha yangu ya kawaida sitegemei polisi atumie busara.Hii ndio society tuliyo ijenga, non-mannered. Wote wana makosa lkn polisi ana makosa zaidi, hutumii silaha namna hiyo hata siku moja.
Nilikuwa sijaiona ID yakoGari lilikuwa parked sehemu isiyostahili na mutoto wa bosi amebaki untouchable ndio kuja polisi nao wanadharauliwa
Sorry kaka kama nimepanda jazba la kipolisi... lolMbona umekuwa mkali sana mkuu?
Huo ushauri mzuri, ila naona kama Polisi walikuwa wanamfaham fika na ndio maana hata alipoweka mikono mfukoni hawakiwa na shauku....Ni kosa usirudie kufanya utakuja kuvunjwa miguu au mikono kama sio kufa. Ukiona MTU ana silaha kesha koki toa mikono mfukoni ipandishe kichwani.
Ukiacha mikono mfukoni atajua unatoa cha moto.
Acha kabisa.
Mimi kama niko wrong,ruksa kuwa arrested but procedures should be well followed,otherwise hapana aseee.Yes leo kapata credit waziri... ila polisi angempa 5 za kichwa tungepata sababu ya kuitukana CCM ila jamaa angepata credit mbinguni. In my normal life siwezi kubishana na polisi. Most of them ni serial killers waliojificha huko ili waue kirahisi.
Kazi gani unajifunza kuua, kugombana, kukimbiza ... kesho tunataka wawe na busara
i dont mean kutetea kila baya thou.. usinihukumu kwakuwa jina hulipendi..lolNilikuwa sijaiona ID yako
CorrectKwani Malima yupo juu ya sheria? Hata kama angekuwa nani alipaswa kutii amri ya askari. Haijalishi yeye nani. Swala la uheshimiwa ni baadae.
Nishawekwa jela bila makosa.. nilienda kama chicken.. easy easy hakuna shida nkatoka kesho yake..Mimi kama niko wrong,ruksa kuwa arrested but procedures should be well followed,otherwise hapana aseee.
Niue tu,hunibebi tu kama mbuzi aseeeee.
Kesho tu atapandishwa cheo,huyo polisi atakuwa hana vyeti