Masaki, Dar: Adam Malima atishiwa kwa Bunduki, Risasi zarindima kama Njugu

Masaki, Dar: Adam Malima atishiwa kwa Bunduki, Risasi zarindima kama Njugu

ulimsikia askari aliyefyatua risasi akiongea kwa uchungu "kwanini hamuheshimu serikali??"
Tanzania viongozi wanajiweka matiti mbele na usiye kiongozi unanyanyaswa.
Wote tuwe watii wa sheria......tusiwaangalie polisi kwa makengeza kwakuwa kila mara wako wrong
Mbona umekuwa mkali sana mkuu?
 
Huyu askari ametumia busara sana kupiga risasi juu kuwatawanya hao watu na hana kosa kupiga risasi juu angekuwa amemrenga au amemnyoshea mtu hapo ingekuwa makosa lakini inaonyesha nia yake ni kuwatawanya ndio maana ameonyesha bunduki juu hakuwa na nia ya kudhuru mtu acheni siasa!!
Askar alishakoki bunduki watu wakasambaa inakuwaje anafyatua risasi juu???
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Hii ndio society tuliyo ijenga, non-mannered. Wote wana makosa lkn polisi ana makosa zaidi, hutumii silaha namna hiyo hata siku moja.
mkuu katika maisha yangu ya kawaida sitegemei polisi atumie busara.
Miaka ya nyuma zilikuwa kazi za vilaza darasani pamoja na ualimu wa upe nk
U need to know them better... na ni wepesi kuua
 
Ni kosa usirudie kufanya utakuja kuvunjwa miguu au mikono kama sio kufa. Ukiona MTU ana silaha kesha koki toa mikono mfukoni ipandishe kichwani.
Ukiacha mikono mfukoni atajua unatoa cha moto.
Acha kabisa.
Huo ushauri mzuri, ila naona kama Polisi walikuwa wanamfaham fika na ndio maana hata alipoweka mikono mfukoni hawakiwa na shauku....
 
Yes leo kapata credit waziri... ila polisi angempa 5 za kichwa tungepata sababu ya kuitukana CCM ila jamaa angepata credit mbinguni. In my normal life siwezi kubishana na polisi. Most of them ni serial killers waliojificha huko ili waue kirahisi.
Kazi gani unajifunza kuua, kugombana, kukimbiza ... kesho tunataka wawe na busara
Mimi kama niko wrong,ruksa kuwa arrested but procedures should be well followed,otherwise hapana aseee.
Niue tu,hunibebi tu kama mbuzi aseeeee.
 
Kuna uwezekano huyo askari anafuata trend ya bashite ya utemi anajua hatochukuliwa hatua
 
Viongozi wengi tz wanadhani kuwa kila polisi hafuati sheria Kama wao shame on them. Ingelikuwa mimi ndie polisi ningelimjeruhi kidogo mguuni ili ajue nipo nawatumikia wananchi.
 
Yani upo tayari kuua kwa kudharauliwa hahahaha.... Basi ngoja tukupeleke kibiti Nasikia huko Yale Majamaa yanadharau sana utatufaa sana kwenye operations zetu kule
 
Mimi kama niko wrong,ruksa kuwa arrested but procedures should be well followed,otherwise hapana aseee.
Niue tu,hunibebi tu kama mbuzi aseeeee.
Nishawekwa jela bila makosa.. nilienda kama chicken.. easy easy hakuna shida nkatoka kesho yake..
 
  • Thanks
Reactions: y-n
hakuna watu wapumbavu....wasiojua sheria na vilaza kama polisi wa tanzania...wao kila kitu ni kutumia mabavu tu kujishusha kwao hamnaga ata kwny vifu vya kipumbavu anakua mpumbavu zaidi.
 
Kwani huyo dogo angeonesha kitambulisho..akakaguliwa au wakayamaliza kimyakimya kwani angedhurika!??? Ubabe usio na maana utawaCost..
 
Mimi tangu nishuhudie wale wanajeshi wa uturuki wakichalazwa viboko na wananchi,nikajua kuwa wananchi ndo kila kitu,

yapasa tu kujiuliza kwanini wananchi walikua agaisnt huyo askari
 
Hawa viongozi nao inabidi sometime wawe wanajiheshimu maana sidhani km askari atafikia hatua ya kufyatua risisa bila kuwa na sababu, askari anapofikia hatua ya kukabidhiwa siraha si chizi huyo ni timamu wa akili na mwili, hawa viongozi wetu inabidi wachunge kauli zao muda mwingine wanatengenezea watu makosa.
 
Back
Top Bottom