Masaki, Dar: Adam Malima atishiwa kwa Bunduki, Risasi zarindima kama Njugu

Uzuri wote Polisi na Malima wanataka Chama kimoja chama cha Majambazi aka CCM waache waonyeshane number.

Sikujua polisi wote ni wana CCM, Ina maana upinzani ukishika madaraka polisi wote wataachishwa kazi?

Haya tungoje Red Brigades watakapo kuwa polisi
 

Pitia video hii utajifunza mengi
 
Hebu tafuta hiyo video uangalie basi
 
Dharau hizi hizi dhidi ya polisi ndizo zimemfikisha Manji katika usumbufu ule unaomuandama sasa hivi, let say Bashite alikosea kumuita kupitia media, Manji kwakua alijua yeye ni maarufu akaita media kuongea na kutoa kejeli, kafika police wapambe wake wanasafisha gari kama ishara ya dharau.

Jamani hakuna anayependa kudharauliwa wala kupandishiwa sauti awapo eneo lake la kazi, hata uende getini umkute KK security ukionesha dharau/kejeli ya kazi yake lazima atalazimika kukuzuia usiingie na pengine utazuka ugomvi.

Watanzania mara zote tunasema polisi ndio watu wabaya lakini mabaya yetu hatuyasemi, hata wewe unayedhani polisi wanakosea kila siku ukipata nafasi ya kuwa polisi hutakubali kudharauliwa mtambueni polisi kama kiongozi wa ulinzi na usalama sasa mnapoonesha dharau lazima atakwazika(human nature)
 
Askari wa tanzania walipofikia sasa hawana tofauti na askari wa uganda ....apimwe kilevi huyo askari hii sio bure
 
Huo ushauri mzuri, ila naona kama Polisi walikuwa wanamfaham fika na ndio maana hata alipoweka mikono mfukoni hawakiwa na shauku....
Acha kudhani mbele ya bullets. Don't do that. IDD Amin rais wa Uganda alitishiwa bastola na mtoto wake Kagwa miaka 12. Amin alipiga magoti na mikono juu.
Yule askari Alisha poteza umakini. Chochote kingetokea na yeye kujiua.
SMG inabeba 30.watu kama 20hivi wangeipata fresh
 
Washauri ujinga waishie jela kama yule aliyelamba miaka 15 baada ya kuwa provoked na kumuua mwandishi!
 
HAWA POLISI WETU INABIDI WAPEWE MECHI YA KIRAFIKI COZ WANA HAMU SANA YA KU_PULL TRIGA......nchi ipi inafaa wakuu tuandike proposal
 
Askari wa tanzania walipofikia sasa hawana tofauti na askari wa uganda ....apimwe kilevi huyo askari hii sio bure
Huwezi kuamini baba yake Bashite atampongeza huyu askari na cheo atampandisha.
 
Angejifungua kama alikuwa na uchungu!
 
Na sijui ametoa wapi mamlaka ya kuuliza swali kama lile..

Swali la askari lilipaswa liwe "kwanini hamtii amri halali"?
Tukichukulia undani wa tukio..huyo askari anatakiwa kuchukuliwa hatua za kinidhamu hata kama kulikuwa na mhalifu pale bado hakustahili kufyatua risasi angani kwa kuwa hapakuwapo mtu aliyefanya fujo wala aliyetishia amani wala mwenye silaha ya wazi eneo lile!!...THAT WAS AN ACT OF EXCESSIVE USE OF FORCE!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…