Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
kweli mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzuri wote Polisi na Malima wanataka Chama kimoja chama cha Majambazi aka CCM waache waonyeshane number.
Pole sana.Nishawekwa jela bila makosa.. nilienda kama chicken.. easy easy hakuna shida nkatoka kesho yake..
Kama kuna jambo baya duniani kwa kiumbe chochote kile chenye uhai, basi ni dharau.
Nimejaribu kufuatilia issue ya Malima kwa ukaribu...
Ukweli ni kwamba, kuna chembe chembe za kupimana ribs na kuoneshana dharau kati ya raia, waziri, mwanae na waziri dhidi ya Polisi...
Hata kama wewe una haki, kuna namna ya kuzungumza, the issue was already viral.... kumbuka issue ya kumuita "Mwizi alie kwenye gari"
Then Malima anaingilia katikati ya maongezi kati ya polisi na mtuhumiwa (Mwanae)
Mwananchi anadakia polisi akijibizana na Malima "Huna mamlaka wewe, huna mamlaka huyu waziri huyu, ana ulinzi"
Then Polisi anafyatua risasi hewani, Malima anasema " Kiongozi wa msafara wenu yuko wapi " aje hapa....
Hivi wananchi wanadhani hilo walilobeba polisi ni toy au?
Perception ya Dharau inaaniza kwa kijana, kisha baba anaingilia' yet, polisi anaonekana kama third class tu wakati wa mazungumzo, na wananchi wanashadadia....
Nakumbuka kimbembe cha waziri aliewahi ingia kwenye ATM posta bila kupita kwenye foleni....
Viongozi wetu tunawapenda, sheria mmetunga wenyewe, zikiwarudia mnaona mnaonewa... this is hugely unacceptable.....
Yani kwa dharau za kijinga namna ile ningekuwa mimi nisingevumilia hata kidogo.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.... The policeman was provoked to the first degree....
Hebu tafuta hiyo video uangalie basiWatanzania tumezoea kuongea kwa fashion ya upepo wa kisiasa.
Kwa mtazamo wa haraka haraka wananchi walipomzingira mtu walijua ni mwizi na wangeweza kumuua sasa polisi kupiga risasi juu ni kwa nia ya kutawanyisha watu ili kuepusha kifo cha jamaa.
Fashion zingine zinatuvua nguo ni vema tukaachana nazo.
Tazama heading ya hii habari, risasi zarindima! Katika maelezo risasi moja ndiyo imepigwa hewani sasa risasi zirizolindima ni ngapi na ziko wapi katika maelezo?
Mwanzoni mwa habari, mleta mada anasema kumekuwepo na majibizano ya risasi, mwishoni anasema risasi moja ndiyo imefyatuliwa hewani, sasa hayo majibizano ya risasi ni baina ya polisi na nani? ikiwa mmiliki wa gari hakua na silaha na wananchi hawakua na silaha!
Alitakiwa kupark porini?
Hili naliona sana,Waziri mwenye dhamana kashindwa kaziKuna uwezekano huyo askari anafuata trend ya bashite ya utemi anajua hatochukuliwa hatua
Acha kudhani mbele ya bullets. Don't do that. IDD Amin rais wa Uganda alitishiwa bastola na mtoto wake Kagwa miaka 12. Amin alipiga magoti na mikono juu.Huo ushauri mzuri, ila naona kama Polisi walikuwa wanamfaham fika na ndio maana hata alipoweka mikono mfukoni hawakiwa na shauku....
Washauri ujinga waishie jela kama yule aliyelamba miaka 15 baada ya kuwa provoked na kumuua mwandishi!Kama kuna jambo baya duniani kwa kiumbe chochote kile chenye uhai, basi ni dharau.
Nimejaribu kufuatilia issue ya Malima kwa ukaribu...
Ukweli ni kwamba, kuna chembe chembe za kupimana ribs na kuoneshana dharau kati ya raia, waziri, mwanae na waziri dhidi ya Polisi...
Hata kama wewe una haki, kuna namna ya kuzungumza, the issue was already viral.... kumbuka issue ya kumuita "Mwizi alie kwenye gari"
Then Malima anaingilia katikati ya maongezi kati ya polisi na mtuhumiwa (Mwanae)
Mwananchi anadakia polisi akijibizana na Malima "Huna mamlaka wewe, huna mamlaka huyu waziri huyu, ana ulinzi"
Then Polisi anafyatua risasi hewani, Malima anasema " Kiongozi wa msafara wenu yuko wapi " aje hapa....
Hivi wananchi wanadhani hilo walilobeba polisi ni toy au?
Perception ya Dharau inaaniza kwa kijana, kisha baba anaingilia' yet, polisi anaonekana kama third class tu wakati wa mazungumzo, na wananchi wanashadadia....
Nakumbuka kimbembe cha waziri aliewahi ingia kwenye ATM posta bila kupita kwenye foleni....
Viongozi wetu tunawapenda, sheria mmetunga wenyewe, zikiwarudia mnaona mnaonewa... this is hugely unacceptable.....
Yani kwa dharau za kijinga namna ile ningekuwa mimi nisingevumilia hata kidogo.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.... The policeman was provoked to the first degree....
Asisahau Malima alikuwa naye ofisi moja awamu iliyopita!Pengine yeye mwenye dhamana anafurahi,ila ipo siku wataumia hawa askari na ccm kwa ujumla.
Huwezi kuamini baba yake Bashite atampongeza huyu askari na cheo atampandisha.Askari wa tanzania walipofikia sasa hawana tofauti na askari wa uganda ....apimwe kilevi huyo askari hii sio bure
Angejifungua kama alikuwa na uchungu!ulimsikia askari aliyefyatua risasi akiongea kwa uchungu "kwanini hamuheshimu serikali??"
Tanzania viongozi wanajiweka matiti mbele na usiye kiongozi unanyanyaswa.
Wote tuwe watii wa sheria......tusiwaangalie polisi kwa makengeza kwakuwa kila mara wako wrong
Tukichukulia undani wa tukio..huyo askari anatakiwa kuchukuliwa hatua za kinidhamu hata kama kulikuwa na mhalifu pale bado hakustahili kufyatua risasi angani kwa kuwa hapakuwapo mtu aliyefanya fujo wala aliyetishia amani wala mwenye silaha ya wazi eneo lile!!...THAT WAS AN ACT OF EXCESSIVE USE OF FORCE!Na sijui ametoa wapi mamlaka ya kuuliza swali kama lile..
Swali la askari lilipaswa liwe "kwanini hamtii amri halali"?
Unasema hayo ukiwa nyuma ya keyboardHata mimi ningekosea zaidi... ningepeleka kwa huyo jamaa.. naenda jela.. somo litaeleweka kesho
ningetoa mfano live...