Masaki, Dar: Adam Malima atishiwa kwa Bunduki, Risasi zarindima kama Njugu

Kwa maelezo haya, polisi hajafanya kosa kabisa kufyatua risasi hewani.

Kwa sababu, naona maelezo hapo yanasema wananchi walikuwa Karibu kujichukulia sheria mikononi.

Hivyo, polisi kuokoa maisha ya aliyedhaniwa ni jambazi ili asitolewe roho.

Au mi nimeelewa tofauti!?
 
Wananchi walivyotaka kumpiga mtu wa majembe polisi wakaingilia kati, watu wakauchuna sasa baada ya kuondoka polisi wakapanda gari wakasogea mbele kidogo ndo hilo varangati la risasi lilipoanza
 
Mkuu haraka za nini sasa kuleta habari bila ya picha to support.
 

Huyo mtu wa majembe ilitakiwa achomwe kabisa ili akili ikae sawa.

waache ubabe kwani kuonesha kitambulisho kuna shida gani?
 
Wananchi walivyotaka kumpiga mtu wa majembe polisi wakaingilia kati, watu wakauchuna sasa baada ya kuondoka polisi wakapanda gari wakasogea mbele kidogo ndo hilo varangati la risasi lilipoanza

Aaaah, OK

Asante kwa kuongezea maelezo

Nimekupa like
 
Kaka yake au Mdogo wake na Mh. Adam Malima? Ukoo ule nasikia hadi house boy anamiliki AK47, polisi wanahaki ya kujilinda kwa kurusha risasi hewani maana hai ndugu wana hobi ya kutembe na mibunduki!
 
Mhhh....Majembe tena? Au Yono?
Alivyoulizwa wewe nani akasema Majembe onyesha kitambulisho akawa analeta ubabe akajua Masaki wote ni lelemama kilichotaka kumpata nadhani heshima itamrudia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…