Masaki, Dar: Adam Malima atishiwa kwa Bunduki, Risasi zarindima kama Njugu

Tena nafyatua ile yenyewe dadadeki
 

Nina sema hivi wakati wa JKN hukuti polisi anamsakizia MTU kesi.Hivi vituko vya polisi zimeanza baada ya Mkapa kuwepo madarakani.

Wanachotakiwa kufanya kuheshimu watu ili wahwshimike
 
Unaweza kuniambia yule jamaa aliyekua anawasogelea polisi alikua anasema maneno gani?
 
Mithali 27:12....jiwe ni zito na mchanga ni mzito... Lakini kukasirishwa kwa mpumbavu kuzito kuliko hivyo vyote viwili (uzito na mizigo) [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji779] [emoji779] [emoji779] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
Sasa mnaanza kukaidiana na kukamatana wenyewe kwa wenyewe mtakulana hadi mbaki mifupa tupu!!...Hii ya malima hii ni ishara ndogo tu!!...zipo nyingi tutaziona!
https://www.facebook.com/video.php?v=1951698368381586
 
Polisi pia anatakiwa kuheshimu raia, mali zao na kuzingatia sheria wakati wa majukumu yao. Hapo hapakuwa na sababu yoyote iliyomlazimisha kupiga risasi hewani, ni matumizi mabaya ya silaha, upotevu wa risasi na pia ni ishara ya udhaifu na uoga kwa mapolisi wetu. Nahisi ndio maana wakikumbana na maadui wenye silaha huwa wanadhurika kirahisi.
 
Tatizo ni inferiority complex na bangi.Yule police alitakiwa kua professional na sio kupanic vile
 
hapa mtu asipowajibika nitashindwa kuelewa. Hata kama kuna namna ya kutoelewana lakni huwezi kufyetua risasi namna hio.
 
Askari muoga huyo anakimbilia kufyatua risasi ovyo akidhani ataogopwa
 
Hopeless comments!!

Pole sana.Siku ukija kujua Polisi ni washenzi utarudi Kwenye comment yangu. Bila kuheshimu binadamu mwenzako usitegemee utaheshimiwa.

My point might be hopeless lakini imebeba dhana nzima ya heshima ni kuheshimiana.
 
Unaona hii me nimeapa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Huyo ni polisi au kibaka?
 
Aiseeeh,

Kwa hiyo, aliepaki gari barabarani yeye huoni kosa lake au kwa vile ni Gari la Kigogo!?
Mkuu hujakutana na usumbufu wa hao jamaa wanaojiita majembe ndio maana,mie nilishawahi kusumbuana nao kwa kisa kama hicho,nilikua nimesimama kando ya barabara ili niongee na simu ghafla wakani-block kana kwamba ni jambazi nikavutana nao sana nikawagomea kwenda kwenye yard yao nikaongoza mpaka police Kilwa road tukamalizania huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…