Usiwe narrow minded nimekupa mfano, kimsingi unapoonesha dharau tegemea feedback mbaya kutoka kwa yule uliyemdharau.
Yule jamaa anataka kuonesha jeuri ya pesa, kuna mambo kama mtu mwenye akili timamu unapaswa kutambua, heshimu askari maana wao ndio walinzi tuliowapa dhamana ya kutulinda, hata rais na viongozi wengine tunalazimika kuwaheshimu maana wana dhamana, umaarufu na utajiri wetu sio jambo la msingi sana linapokuja suala la ulinzi na usalama, ndio maana tunahitaji kuilinda amani tuliyonayo kwa nguvu zote maana hiyo amani ikipotea hata pesa zako hazina thamani tena, utatumia wapi?
Tuheshimu serikali, tuheshimu askari suala la mapungufu kila mtu analo hata wewe lazima una mapungufu yako.
Cha kujua ni kwamba askari hapendwi kirahisi kama wengi wenu mnavyodhani
Wangeenda Kibiti kule kufanya mazoezi ya kutumia silaha. Nguvu yotee ya nini na mtu hajabeba hata jiwe?Duu hizi bunduki mbona zinatumika vibaya?
Siku nikikutana nao naamini hawa failure wote watakuwa wanapalilia shambani bila pensheniWewe kwa akili yako unadhani kua na akili ni kumshabikia mtu aliyeonesha dharau kwa askari polisi.
Hata wewe nakuhakikishia siku ukionesha dharau mbele ya askari yeyote utaumia, vinginevyo omba Mungu askari wote utakaokutana nao wawe ni wapole 100%
Ni kweli MkuuHuyo askari jinsi anavyoitumia hiyo silaha ni hatari kwa maisha yake zaidi kuliko mtu yoyote.
Polisi pia anatakiwa kuheshimu raia, mali zao na kuzingatia sheria wakati wa majukumu yao. Hapo hapakuwa na sababu yoyote iliyomlazimisha kupiga risasi hewani, ni matumizi mabaya ya silaha, upotevu wa risasi na pia ni ishara ya udhaifu na uoga kwa mapolisi wetu. Nahisi ndio maana wakikumbana na maadui wenye silaha huwa wanadhurika kirahisi.
Unaweza kuniambia yule jamaa aliyekua anawasogelea polisi alikua anasema maneno gani?
Huyo ni polisi au kibaka?
Wakiambiwa elimu elimu elimu, wanajua ni kujua kusoma na kuandika.SERIKALI INATOKANA NA WANANCHI,IPO KWA AJILI YA WANANCHI,WENYE NAYO NI WANANCHI,WATUMISHI WA SERIKALI NI WATUMISHI WA WANANCHI HIVYO WANANCHI NDIO SERIKALI.
Huyo ni polisi au kibaka?
SafiAnacho kile cha kuzaliwa
Mi sina shida na polisi lakini nashida na wendawazimu waliovaa sare za kipolisiSiku vibaka wakikukamata au wakamtenda vibaya nduguyo ndiyo utawakumbuka na kuwaheshimu polisi.
Leo, unaweza ukaongea na kutukana ila siku ukiwa majanga utawakumbuka polisi kwa machozi.
Kwahiyo ukimjibu kwa nyodo polisi,risasi hewani!Mwishoni kamuweka chini ya ulinzi,mimi nilidhani hilo lingefanyika mapema kabisa na wala kusingekuwa na sintofaham uisiyo na kichwa wala miguu!Angalia video hii halafu linganisha na hiyo kwenye thread labda itakufungua macho usiendelee kuzungumza usichokijua!Wakati wowote anapohitaji kufanya hivyo kwa lengo la kulinda usalama kwa kadri ya ujuzi aliofundishwa.
Sisi tunataka polisi wafanye kazi inayotufurahisha Never askari kupendwa ni ndoto duniani kote.
Yule jamaa kaonesha jeuri na kiburi cha pesa, huwezi kujibu nyodo kwa askari.
Haya mambo ndiyo yanamsumbua Manji mpaka leo, wenzake wote waliachiwa
Huyo askari amevunja sheria,alikuwa hana haki ya kufanya yote hayo,hakuna mtu anaonesha kutaka kuleta hatari yeyote,inaonesha huyo ni tabia yake kuchukua hatua mikononi mwake,hii video ni tosha kuwa ushahidi,huyu Askari yuko hatiani,nimeona leo kurasini,mzaramo mmoja kapigwa na kuuwawa na askari Kwa kusingiziwa gaidi,ati sababu Ana ndevu,nchi hii inakwenda vibaya,utawala huu wa sasa unaendesha nchi kwa nguvu za mtutu.tunasubiri video
Kila mtu humlaumu askari wakati wa amani.Msikilize utamsikia.Issue itasimama pale pale kuheshimiana ndilo kuna jenga Taifa.Polisi hawaheshimu RAIA hata siku moja.
Thubutu!!!Waende wakafyatue risasi kule mkuranga na kibiti!