mzalendo.com
JF-Expert Member
- Aug 2, 2015
- 427
- 301
Hata maiti nayo inapigiwa salute .Tufanye ulinganifu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata maiti nayo inapigiwa salute .Tufanye ulinganifu!
Kwa maelezo haya, polisi hajafanya kosa kabisa kufyatua risasi hewani.
Kwa sababu, naona maelezo hapo yanasema wananchi walikuwa Karibu kujichukulia sheria mikononi.
Hivyo, polisi kuokoa maisha ya aliyedhaniwa ni jambazi ili asitolewe roho.
Au mi nimeelewa tofauti!?
siwezi kubishana na wewe ambaye hata hujui ni wakati gani hasa unatakiwa utumie silaha ya moto,,, ilitakiwa kwanza amri kama kulikuwa na tishio lolote lile. Malima alitishia nini, je aliamriwa kukamatwa yeye akakimbia?Hujui kitu usifikiri hiyo silaha amebeba kama manati ya ndege. Huyu ana busara sana kupiga juu kutawanya watu. Malima kama wazirj mstaafu alitakiwa kuwa na busara kuliko kubeza Askari yeye akipata shida anakimbilia kuomba msaada huko huko Polisi
Nadhani huyo Askari alipiga risasi juu kwa lengo la kutawanya hao jamaa wabishi.Achana na maelezi, je kwa ulichokiona unadhani kulikua na ulazima gani wa kupiga risasi?
malima au derrva wake alikataa amri gani???? alikataa kukamatwa???Usipotii amri police anahaki ya kufyatua risasi juu ukigoma tena inatakiwa risasi ije kwa mguu
Sent from my V7 using JamiiForums mobile app
Siyo waziri lakini viashiria vya kujiona kuwa yeye ni kiongozi mkubwa asiyetakiwa kuguswa kwa kitu chochote bado anavyo.Kwani malima bado ni waziri katika serikali hii?
Apelekwe mkuranga..!Nimeangalia clip,Askari Polisi wa namna hawatakiwi kufanya kazi za operations kama hizo,anaonekana anafaa sana kuwa ktk kikosi cha kufuatilia wahalifu au majambazi wanaotumia silaha hukooo field ata enjoy sana kazi yake ya Polisi.
Hiyo clip ikifika Ikulu aliyekua anamzuia mwenzaje ni lazima awajibishwe kwa kitwndo cha yeye kama afisa wa serikali kumpinga afisa mwenzake hadharani badala ya kuonyesha uwajibikaji wa pamoja na Hugo aliyekua amepanic na kupiga risasi hovyo, IGP ataagizwa ampandishe cheo.Tufanye uko sawa,kutumia smg kupiga risasi hewani kwa mkono mmoja? duuh!! Halafu rapid umeiona ile recoil kidogo ajipige mwenyewe au raia..hii inaonyesha uzembe! uzembe! ukosefu weledi yeye ni askari amepanic mwenzake yuko well trained and displined anamuamua mwenzake hii inaleta taswira za ajabu good cop and bad cop.
Mbona haya mambo ya viongozi kushikiwa bastola na bunduki yameibuka awamu hii?mbona awamu zilizopita hatukuona haya?tatizo ni nini?Siyo waziri lakini viashiria vya kujiona kuwa yeye ni kiongozi mkubwa asiyetakiwa kuguswa kwa kitu chochote bado anavyo.
Huyo Polisi amekosa maadili kabisa ya kiaskari amefanya jambo la kihuni kabisa akiwa na sare za Janhuri huku akitumia silaha ndiyo sivyo hafai ktk usalama wa raia na Mali zake.Apelekwe mkuranga..!
Nilishawahi kuandika humu, hao hata wasome mpaka level ya PhD, wakiisha vaa hizo nguo zao tu na hiyo mikanda ya bendera uwezo wa kufikiri unakuwa wa kindergarten.Kama mpaka tunappandika hapa huyo askari hajavuliwa uaskari ntashangaa sana.unapiga risasi hewani kutishia raia?wakati unalipwa mshahara kwa kodi zetu kulinda raia na mali zao.tunaomba fagio la vyeti feki lipite polisi na jeshini.na kuanzia sasa hivi polisi waajiriwe wenye diploma na degree