Rugaiyulula
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,524
- 1,705
Hivi huyo Adam Malima mnamjua vizuri??Shehena ya masilaha ya kujihami uliyokuwa nayo morogoro ipo wapi Adam? Siyo vizuri kunyanyasika hivi.
Nimesema wapi ni risasi moja, hapo zimefyatuliwa kama nne hivi au tano hata kuskiliza milio ya risasi huwezi piaWatanzania tumezoea kuongea kwa fashion ya upepo wa kisiasa.
Kwa mtazamo wa haraka haraka wananchi walipomzingira mtu walijua ni mwizi na wangeweza kumuua sasa polisi kupiga risasi juu ni kwa nia ya kutawanyisha watu ili kuepusha kifo cha jamaa.
Fashion zingine zinatuvua nguo ni vema tukaachana nazo.
Tazama heading ya hii habari, risasi zarindima! Katika maelezo risasi moja ndiyo imepigwa hewani sasa risasi zirizolindima ni ngapi na ziko wapi katika maelezo?
Mwanzoni mwa habari, mleta mada anasema kumekuwepo na majibizano ya risasi, mwishoni anasema risasi moja ndiyo imefyatuliwa hewani, sasa hayo majibizano ya risasi ni baina ya polisi na nani? ikiwa mmiliki wa gari hakua na silaha na wananchi hawakua na silaha!
Huwezi jua kazi ya kila mtu hapa jf, siwezi kufanya ujinga kama huo wa kufyatua risasi hovyo bila sababu ya msingi halafu kwanini upaniki bila sababu za msingi, Huyo askari ni mjinga sana hajaiva kiuaskari au anasumbuliwa na utoto na huenda na wewe ukawa mmoja wao.Ukiwa hapa jf kila kazi unaweza kusema unaiweza.
Nakushauri nenda ukawe polisi maana hata wewe ni mtanzania ili uwafundishe huo weledi wako
Majibizano ya risasi maana yake nini?Nimesema wapi ni risasi moja, hapo zimefyatuliwa kama nne hivi au tano hata kuskiliza milio ya risasi huwezi pia
Ilitosha kusema umesoma post kabla haijarekebishwa. Prudence so dictates. Sijui wehu ni akina nani sasa?Wewe umesoma baada ya mtoa mada kurekebisha kosa lake. Mimi kuchekwa na wehu hakunipagi tabu.
Haku park sehemu isiyoruhusiwa, gari lilikuwa limeegeshwa na dereva akiwemo ndani, na liliegeshwa upande wenye maduka ambao unaruhusiwa, ila mara nyingi huwa wanapenda kusumbua na hata kusababisha wenye maduka kukosa wateja kwa kuogopa kukamatwa na hao majembeSasa kwa nini na yeye anapack sehemu isiyoruhusiwa ? Akisababisha ajali je ? Tatizo hawa wazito wanawadharau sana askari polisi
Ni rahisi kuandika hapa jf.Huwezi jua kazi ya kila mtu hapa jf, siwezi kufanya ujinga kama huo wa kufyatua risasi hovyo bila sababu ya msingi halafu kwanini upaniki bila sababu za msingi, Huyo askari ni mjinga sana hajaiva kiuaskari au anasumbuliwa na utoto na huenda na wewe ukawa mmoja wao.
Ilitosha kusema umesoma post kabla haijarekebishwa. Prudence so dictates. Sijui wehu ni akina nani sasa?
The imprudent at their best.Ala tatizo lako ni ni sasa? Nimeambiwa "nitachekwa" sasa kuna ubaya gani kuchekwa na wehu?
Nakushairi ukiona habari haina picha acha usiisome kama kwako habari inakamilishwa na pichaMkuu haraka za nini sasa kuleta habari bila ya picha to support.
Ishu ni hv, huyu ndugu malima jr alienda IOM akamuacha dereva wake kwenye gari, dereva akaegesha gari upande ambao kuna maduka na migahawa na ni upande ambao huwa hawakamati labda wakubabatishe mjinga mjinga, sasa mabwana wakubwa (Majembe) wakaja akawa anataka kukamata gari, dereva anamuuliza kitambulisho jamaa akagoma, sasa dereva akaanza kumfokea ndo wananchi wakajaa kwenye tukio, walipomuomba tena atoe kitambulisho akagoma ndo wakataka kumpiga, bahati walikuja na polisi ambao walikuwa kwenye gari, baada ya kelele polisi wakatoka kutuliza presha za wananchi. Mwenye gari (Malima) alipokuja akauliza kwa nn wanataka kukamata gari na kwa nn hawataki kutoa vitambulisho majibu hayakupatikana, Polisi wakapanda kwenye gari wakawa wanaondoka, sasa cha ajabu baanda ya mwendo waa sekunde 30 wakapaki gari pembeni wakaanza kujibizana upya ndo hapo dereva akapaniki na askari akapaniki jamaa akaamua kufyatua risasi juu watu hawakukimbia. Ikabidi Polisi wamchukue Malima Jr waende nae Kituoni.Fafanua mkuu
twafaaaaa! Zitafuata faini za kukohoa, kubanja na kupiga chafya hadharani.Serikali ndio inakusanya mapato hivyo! Lengo lao ni kutangaza matrilioni kila mwezi
Unahisi uhakiki unapaswa kupita huko!?huyo polisi atakuwa hana vyeti
Mkuu we acha tu. Kuna mambo ukiyafikiri kwa kina wazimu utaambatana na weweHaya baadhi ya maneno... "mimi nina mkanda wenye Bendera...... Nimeapa...."
Kwa wale wajuvi wa sheria za kapa Tanzania... Kuhusu ufyetuaji wa risasi mbele ya raia... Aliyesimama... Sasa jamaa kaanza kukoki mtutu, raia wakamwambia huna mamlaka, kawaoneshea kwa kufyetua risasi... Raia wapo tu hata hawajakimbia...
Halafu polisi kajaa jazba hatari, je kama angekuwa anamkamata na aka resist arrest si angepigwa hata ya kichwa...
The imprudent at their best.