Masaki, Dar: Adam Malima atishiwa kwa Bunduki, Risasi zarindima kama Njugu

Masaki, Dar: Adam Malima atishiwa kwa Bunduki, Risasi zarindima kama Njugu

Majibizano ya risasi maana yake nini?
Sio kila habari inahitaji ushabiki jamani
Sijaandika Majibizano ya Risasi usininukuu vibaya, Nimesema majibizano kati ya Majembe waliokuwa na polisi, na neno majibizano hapo lilikuwa na maana ya kupishana kwa kauli au kufokeana
 
Chombo cha moto anapiga kimadaha vile kwa mkono mmoja, hivi hiyo silaha ikateleza hapo ataua wangapi, polisi wetu wawe makini wakiwa na vyombo vya moto.
Mkuu tukio zima linaweza kuwa justified,lakini huyu askari kaonyesha udhaifu katika askari wetu,kama wewe tayari ni law enforcer unapanic na kutumia mkono mmoja ku fire deadly weapon with full of ammo,katikati ya raia ambao hawana silaha hicho ni kinyume na mafunzo,kuna askari anbao wameshiba lakini hawawezi kupiga risasi kwa mkono mmoja halafu kitendo cha askari mwenzake kumkumbusha na kuokota maganda ya risasi oh my utasema ametoka kwenye rag tag army
 
Isitumike kigezo cha kuapa ikawa njia ya kuvunja sheria ikiwa hata wrngine wameapa kwa vyeti feki.
 
Hivyo ndivyo polisi wetu wapopandwa na hasira na kuua raia wasio na hatia; baadae kuweza kupoteza ushaidi unasikia, polisi imefanikiwa kuuwa jambazi moja na mengine kutoweka na kutokomea kusikojulika baada ya jambazi kuanza kurushia polisi risasi. Polisi hao waliweka mtego na kuwanasa kabla ya kufanikiwa kuiba. Kumbe maskini ya mungu tukio halikuwa hivyo. Dhuu Tanzania bado tuna safari ndefu sana kupata haki ya kila mwenye haki.
 
Mkuu tukio zima linaweza kuwa justified,lakini huyu askari kaonyesha udhaifu katika askari wetu,kama wewe tayari ni law enforcer unapanic na kutumia mkono mmoja ku fire deadly weapon with full of ammo,katikati ya raia ambao hawana silaha hicho ni kinyume na mafunzo,kuna askari anbao wameshiba lakini hawawezi kupiga risasi kwa mkono mmoja halafu kitendo cha askari mwenzake kumkumbusha na kuokota maganda ya risasi oh my utasema ametoka kwenye rag tag army

Naungana nawe huyo askari anajazba, na hiyo ni hatari, binafsi nilidhani alitakiwa kutumia busara zaidi kuliko jazba
 
Habari iliyotufikia meza ya Mwanahabari huru zinasema Gari ya Adam Malima iliyokuwa imeegeshwa vibaya barabara ya Masaki imeleta kizaza baada ya yeye kukata isikamatwe na kusababisha risasi kurindima

Habari zaidi kuwajia hivi punde
 
Mwenye Enzi Mungu ibariki nchi yangu Tanzania na watu wake milele yote katika jina la Yahushua ha Mashaich AMUN RA!
 
Naona Tanzania sasa kutishiana siraha inaanza kuwa kawaida, Malima nae leo ameonja joto ya jiwe baada ya kushuhudia SMG ikikohoa mbele yake.

Video Inakuja
 
Kinachosikitisha ni kwamba RAIA WA TANZANIA sasa hivi HAWAOGOPI tena bunduki, kwa enzi za zamani hapo watu walishatoka mbio na taharuki, lakini sasa hivi wanamuangalia na kumwambia HANA MAMLAKA ya kutoa bunduki! HII INAASHIRIA NINI?
 
Hivyo ndivyo polisi wetu wapopandwa na hasira na kuua raia wasio na hatia; baadae kuweza kupoteza ushaidi unasikia, polisi imefanikiwa kuuwa jambazi moja na mengine kutoweka na kutokomea kusikojulika baada ya jambazi kuanza kurushia polisi risasi. Polisi hao waliweka mtego na kuwanasa kabla ya kufanikiwa kuiba. Kumbe maskini ya mungu tukio halikuwa hivyo. Dhuu Tanzania bado tuna safari ndefu sana kupata haki ya kila mwenye haki.
Ujinga wanao wenyewe wakiuliwa wanataka tuwasaidie mjinga mno Huyo jamaa kama anayo benderea mpeleken kibiti
 
Kuna clip inayotembezwa kwenye WhatsApp inayoonyesha hilo tukio. Inaishia na Mhe. Malima kulazimishwa kuingia kwenye gari la polisi.
 
Sijaandika Majibizano ya Risasi usininukuu vibaya, Nimesema majibizano kati ya Majembe waliokuwa na polisi, na neno majibizano hapo lilikuwa na maana ya kupishana kwa kauli au kufokeana
Achananae mjinga huyo
 
Safi sana huyo polisi, angempiga hata risasi ya mguu, maana hawa wanasiasa wanajiona wenyewe ndio Kila kitu

Mkuu embu tuweke siasa pembeni..mimi binafsi am not a fan of malima or his legacy lakini kwenye vitu ambavyo mtu haki yake mpe kwakwel...sasa hapo ujuaji kaleta wapi? yani watanzania ndo tatizo letu, kama hatuelewani kwenye siasa, basi hata uwanjani tunabeba michuki ile ile , bar napo unauleta ugomvi uo uo..
pambana na mwenzio kisomi na kiuelewa, nguvu haisolve kitu mkuu.
 
Back
Top Bottom