VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,137
- 17,908
Aliyekuwa Waziri wa Habari na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM,Nape Nnauye alitishiwa bastola. Wengi wameona na kusikia. Leo,aliyekuwa Mbunge wa Mkuranga,Naibu Waziri wa Fedha na MNEC, Adam Kighoma Malima ametishiwa bunduki.
Ufanano wao ni kuwa wote wamesukumwasukumwa na waliohusika kuwatishia. Ufanano wao ni kuwa wote walikuwa viongozi ndani ya CCM na Serikalini. Ufanano wao ni kuwa hata Baba zao walikuwa viongozi chamani na serikalini.
Wote wametishiwa silaha. Watishaji wamejiamini na wapo wenzao waliowasihi wasitishe zaidi ambao nao walikuwa na silaha. Watishaji na watishwaji ni vijana. Watishwaji wote wametishiwa Dar.
Something is wrong somewhere. Who is next?
Silaha ya nini tena jamani!?
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam