Landcruiser
JF-Expert Member
- May 27, 2013
- 1,805
- 599
Kulikuwa na haja gani ya kufyatua risasi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kama zingetoka 100 its non-sense kutaka kila mtu afanye kazi kama mnavyotaka nyinyi.acha ulofa...risasi zimetoka kwa mpigo si chini ya5 alafu embu angalia vizuri hiyo video
Ona raha tu.. Kesho yakikufika usilalamikeKinachoniuma kwann Askari yule akumpiga hata ya mguu... Au angemfumua tu tumbo huyo Adam malima... Naona stress za awamu ya tano zinamchanganya...
Hapana , police alifyatua risasi baada ya kukasirika kuwa haheshimiwi.
Kwa Matumizi Haya Ya Hovyo Hovyo Ya Silaha
Ni Hatari Sana Kwa Askari Lakini Pia Wananchi Tujitahidi Kujua Nguvu Ya Umma Ni Kubwa Kuliko Silaha.
Utemi Haufai Popote Pale!!!!
nimeangalia ile video, nimeogopa, huyu askali inaonyesha amechoshwa na kazi, ana lalamika anataka kulia kwa jambo dogo kama hili..
cha ajabu utasikia amepandishwa cheo
Mchana huu pamesikika milio ya risasi maeneo ya Masaki karibu na Double tree Hotel.
Yalikuwa ni majibizano kati ya Majembe Auction Mart waliokuwa wameambatana na Polisi walipojaribu kukamata gari lilokuwa limeegeshwa pembeni ya barabara hali ya kuwa Dereva yupo ndani.
Inasemekana gari lilikuwa la Mwanae Kighoma Malima aliyeenda IOM kufatilia ishu zake.
Mtu wa Majembe akavamia gari hilo na alipodaiwa kuonyesha vitambulisho aligoma kutoa ndio wananchi walipolizingira gari wakitaka kumpiga wakijua ni jambazi.
Polisi aliingilia kati na katika majibizano akafyatua risasi juu kumtishia ndugu Malima aliyekuwa hana hata silaha wala hakukuwa na mwananchi aliyekuwa na silaha.

Bora niwe Jobless kuliko kulala nje namlinda Mwenzangu yupo ndani anapiga wazunguHata wewe hujakatazwa kuwa polisi na hata ningekua polisi bado raia hawezi kunipangia namna ya kufanya kazi
Na akili lazima kaiacha kwa pusha. Hapa mkemia mkuu ahusike.huyo polisi atakuwa hana vyeti
Bahati mbaya Risasi ingepiga katika nyaya ya umeme pale au katika zile ghorofa. Sasa ivi wanasheria wangekuwa wanatafuta dili la kesi apoNever!! Atapongezwa huyu, tena kwa kupandishwa cheo!! Mi nasema, wacha wawazoeshe tu watu hizo silaha!!!