Masaki, Dar: Adam Malima atishiwa kwa Bunduki, Risasi zarindima kama Njugu

Masaki, Dar: Adam Malima atishiwa kwa Bunduki, Risasi zarindima kama Njugu

Kinachoniuma kwann Askari yule akumpiga hata ya mguu... Au angemfumua tu tumbo huyo Adam malima... Naona stress za awamu ya tano zinamchanganya...
Ona raha tu.. Kesho yakikufika usilalamike
 
Hapana , police alifyatua risasi baada ya kukasirika kuwa haheshimiwi.

......kesho atapiga risasi kwa kudai haheshimiwi pia!! Heshima gani anayoitaka, kuulizwa kitambulisho ndio kutoheshimiwa!! Upuuzi wa kiwango cha uzamivu!!!
 
Kwa Matumizi Haya Ya Hovyo Hovyo Ya Silaha
Ni Hatari Sana Kwa Askari Lakini Pia Wananchi Tujitahidi Kujua Nguvu Ya Umma Ni Kubwa Kuliko Silaha.
Utemi Haufai Popote Pale!!!!

Ombeni vita ya kirafiki
 
nimeangalia ile video, nimeogopa, huyu askali inaonyesha amechoshwa na kazi, ana lalamika anataka kulia kwa jambo dogo kama hili..

cha ajabu utasikia amepandishwa cheo

....yaelekea yupo kwenye list ya vyeti feki!!!!
 
Mchana huu pamesikika milio ya risasi maeneo ya Masaki karibu na Double tree Hotel.

Yalikuwa ni majibizano kati ya Majembe Auction Mart waliokuwa wameambatana na Polisi walipojaribu kukamata gari lilokuwa limeegeshwa pembeni ya barabara hali ya kuwa Dereva yupo ndani.

Inasemekana gari lilikuwa la Mwanae Kighoma Malima aliyeenda IOM kufatilia ishu zake.

Mtu wa Majembe akavamia gari hilo na alipodaiwa kuonyesha vitambulisho aligoma kutoa ndio wananchi walipolizingira gari wakitaka kumpiga wakijua ni jambazi.

Polisi aliingilia kati na katika majibizano akafyatua risasi juu kumtishia ndugu Malima aliyekuwa hana hata silaha wala hakukuwa na mwananchi aliyekuwa na silaha.

Malima alitakiwa kufuata sheria,kwanini aegeshe gari njiani?polisi alifaytua risasi ili kutuliza hali ya hatari iliyotaka kutokea,hawa watoto wa vigogo wanadharau sana,wamesahau ule wakati wa kusema unanijua mimi ni nani ushapita.
 
Mchana huu pamesikika milio ya risasi maeneo ya Masaki karibu na Double tree Hotel.

Yalikuwa ni majibizano kati ya Majembe Auction Mart waliokuwa wameambatana na Polisi walipojaribu kukamata gari lilokuwa limeegeshwa pembeni ya barabara hali ya kuwa Dereva yupo ndani.

Inasemekana gari lilikuwa la Mwanae Kighoma Malima aliyeenda IOM kufatilia ishu zake.

Mtu wa Majembe akavamia gari hilo na alipodaiwa kuonyesha vitambulisho aligoma kutoa ndio wananchi walipolizingira gari wakitaka kumpiga wakijua ni jambazi.

Polisi aliingilia kati na katika majibizano akafyatua risasi juu kumtishia ndugu Malima aliyekuwa hana hata silaha wala hakukuwa na mwananchi aliyekuwa na silaha.

Unajifanya mbishi mbele ya SMG... Haya
 
Hatutetei makosa, lakini huyu dogo afande ni bashiter wa kiwango cha almasi. Mpuuzi mmoja hivi.
 
Hata wewe hujakatazwa kuwa polisi na hata ningekua polisi bado raia hawezi kunipangia namna ya kufanya kazi
Bora niwe Jobless kuliko kulala nje namlinda Mwenzangu yupo ndani anapiga wazungu
 
Watu hujiuliza zipi IGP Ernest Mangu akizungumza au kutoa kauli sauti yake inaonesha utulivu kuliko pale Amiri Jeshi Mkuu akishangaa Polisi kwanini wasitumie nguvu nyingi na hasira kali.

IGP Ernest Mangu anajua hatari ya kuongea kwa jazba au kuwatia mori kupita kiasi Polisi wake kutumia nguvu kubwa pasipo husika maana kitu kidogo tu kama hiki wakati askari polisi akiwa na silaha anaweza kusababisha madhara makubwa
 
Kimsingi polisi wetu jazba na ubabe ni tatizo. Pengine ni uwezo wao, sina hakika. Ila kukimbilia kutumia mabavu kunadhihirisha uwezo wa mtu. Kwani kuwa ameapa na kuwa amevaa mkanda wa bendera kunatusaidia nini Watanzania? Je, ndo yuko huru kutishia raia kwa bunduki? Kama kazi ya kulinda raia na mali zao zimemshinda si aache? Si lazima awe askari.
 
Never!! Atapongezwa huyu, tena kwa kupandishwa cheo!! Mi nasema, wacha wawazoeshe tu watu hizo silaha!!!
Bahati mbaya Risasi ingepiga katika nyaya ya umeme pale au katika zile ghorofa. Sasa ivi wanasheria wangekuwa wanatafuta dili la kesi apo
 
Ukitizamaa hizo video kwa uzuri na umakin utagundua kabisa askari aliyefyatua risasi alikuwa ana jazba sana usikutee alishawekaa maji. Sababu hataa waliokuwa wamebaki kwenye gari walikuwa wanamshangaa mwenzao na kujaribu kumtulizaa na kumsaidia kuokota ganda la risasi na ondoka yao ya kihaibu kabisaa kwambaa wamezinguaa
 
Najaribu kufikiri kimya kimya hivi hiyo silaha aliyokua anapiga hewani tena kwa mkono mmoja huku likiwa ni eneo ambala lina maghorofa....................ahaaaaaaaaaaaaaaa ngoja niishie hapa nikiendelea ntatuka bure nitekwe ila huu ni ubashite uliopitiliza unapiga risasi hewani eneo lenye majengo ya maghorofa
 
Naona kuna tatizo la mafunzo, ukiunganisha na wanavyo nyang'anywa silaha huko kibiti, utagundua hawa police wetu wamejiunga na jeshi kwa sababu hawakuwa na nafasi nyingine,

Nimependa sana yule askari mwingine aliyekua anamzuia , very professional.

Silabasi ya mafunzo ibadilishwe
 
Back
Top Bottom