Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,267
Taratibu mkuu.. Mpe hoja itakuwa poaKamfukuze mama yako mpuuzi wewe unajua sheria aliokua anaisimamia road au unaongelea upumbavu tu,kichwa chako kimejaa funza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taratibu mkuu.. Mpe hoja itakuwa poaKamfukuze mama yako mpuuzi wewe unajua sheria aliokua anaisimamia road au unaongelea upumbavu tu,kichwa chako kimejaa funza
Mchana huu pamesikika milio ya risasi maeneo ya Masaki karibu na Double tree Hotel.
Yalikuwa ni majibizano kati ya Majembe Auction Mart waliokuwa wameambatana na Polisi walipojaribu kukamata gari lilokuwa limeegeshwa pembeni ya barabara hali ya kuwa Dereva yupo ndani.
Inasemekana gari lilikuwa la Mwanae Kighoma Malima aliyeenda IOM kufatilia ishu zake.
Mtu wa Majembe akavamia gari hilo na alipodaiwa kuonyesha vitambulisho aligoma kutoa ndio wananchi walipolizingira gari wakitaka kumpiga wakijua ni jambazi.
Polisi aliingilia kati na katika majibizano akafyatua risasi juu kumtishia ndugu Malima aliyekuwa hana hata silaha wala hakukuwa na mwananchi aliyekuwa na silaha.
Hapana asifukuzwe kazi bali apewe onyo.Kwa akili zake askari yule kama akifukuzwa kazi basi ni jambazi mtarajiwa.Nasikia aliyefyatua kaachishwa kaz
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wanabodi.
Askari yule katika tukio la Adam Malima afutwe kazi kwa utovu wa nidham alioufanya, ametia dosari jeshi letu pendwa hivyo aubebe mzigo wake.
...Amesema Adam Malima jamaniKighoma Malima kwani yuko hai?
hayuko sawa bana, hajarusha risasi kumlinda huyo majembe, amerusha risasi baada ya kukasirika eti haheshimiwi.Nahao watu waliotaka kumpiga Huyo jembe kumsingizia jambazi hamjaona kuwa hawana sheria mlishasema wamemzunguuka hatimae kigetokea nini si kumpiga mwisho mauti huyo polisi yupo sawasawa mnaposikia jambo msijitie kimbelembele engemtwanga mmoja ya makalio ingekua fundiaho kwa wengine kukimbilia umbea
Mmmmmh lakini mbona kama sijamuona aliyekuwa akituhumiwa mwizi, au ni Malima? Halafu huyo dogo polisi naona kama dhamira yake ilikuwa ni kumtishia Malima na wala hata siyo umati wa watu.
nafikiri alimaanisha MAJEMBE AUCTION MART ni wapiga mnada vitu mbalimbali ikiwemo majumba baada watu kushindwa kurejesha mikopo benki n.k. nimejaribu watanisaidia wengine kurekebisha.Samahani ndugu hivi majembe ndio nini mnaniacha njia panda