mzalendo.com
JF-Expert Member
- Aug 2, 2015
- 427
- 301
Kuna viongozi nchi hii wanajiona wapo juu ya sheria, sheria hizi hawakutungiwa maskini tu Bali watu wote..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo ni mapato ya manispaa acha ujingaSerikali ndio inakusanya mapato hivyo! Lengo lao ni kutangaza matrilioni kila mwezi
Hapana , police alifyatua risasi baada ya kukasirika kuwa haheshimiwi.Kwa maelezo haya, polisi hajafanya kosa kabisa kufyatua risasi hewani.
Kwa sababu, naona maelezo hapo yanasema wananchi walikuwa Karibu kujichukulia sheria mikononi.
Hivyo, polisi kuokoa maisha ya aliyedhaniwa ni jambazi ili asitolewe roho.
Au mi nimeelewa tofauti!?
Kwa hiyo video tu unataka undani gani hapo, sitashangaa nikisikia unashangilia baadae wakisema huyo polisi hafahamikiSikuizi ni mwendo wa kuwalaumu polisi tu.Yan mtu akisoma post inaneno polisi anaanza kuwatukana bila hata kufatilia undani wa habari.
Tulishawaambie mtoke huko hamtakiDar siyo sehemu salama ya kuishi
hamia sria.Dar siyo sehemu salama ya kuishi
polisi alikasirika hadi anataka kulia, ndipo kutoa hasira zake akapiga risasi ovyo juu. tunakwenda kubaya sana kama wenye silaha ndio hawa.Kaka yake au Mdogo wake na Mh. Adam Malima? Ukoo ule nasikia hadi house boy anamiliki AK47, polisi wanahaki ya kujilinda kwa kurusha risasi hewani maana hai ndugu wana hobi ya kutembe na mibunduki!
Kwa mjibu wa george simbachawene.huyo polisi atakuwa hana vyeti
Mkuu naona una comment kwa jazba sana!!An fedha gani za umma alikuwa anajiami na nimi hapo ww?hacheni uninga huyu alistaili kufukuzwa kazi na kunyongwa kabsa
nimeangalia ile video, nimeogopa, huyu askali inaonyesha amechoshwa na kazi, ana lalamika anataka kulia kwa jambo dogo kama hili..Inashangaza sana askari junior kama huyu kufanya mambo ya ajabu yale...kwanza anasema ameapa hivi yeye na Malima nani hasa kala kiapo??? Na viapo vingapi hasa??? Kingine kuna haja gani kutumia risasi kama huna tishio la maisha?? Huku ukisisitiza serikali haiheshimiwi??? Hivi kweli yule askari ana mafunzo sahihi??? Naamini kuna haja ya kuweka sheria na mafunzo mapya na kuondoa kabisa mlolongo wa kikoloni ndani ya majeshi...hakuna alie salama huo ni ukweli.