Masaki, Dar: Adam Malima atishiwa kwa Bunduki, Risasi zarindima kama Njugu

Masaki, Dar: Adam Malima atishiwa kwa Bunduki, Risasi zarindima kama Njugu

Usiwe narrow minded nimekupa mfano, kimsingi unapoonesha dharau tegemea feedback mbaya kutoka kwa yule uliyemdharau.

Yule jamaa anataka kuonesha jeuri ya pesa, kuna mambo kama mtu mwenye akili timamu unapaswa kutambua, heshimu askari maana wao ndio walinzi tuliowapa dhamana ya kutulinda, hata rais na viongozi wengine tunalazimika kuwaheshimu maana wana dhamana, umaarufu na utajiri wetu sio jambo la msingi sana linapokuja suala la ulinzi na usalama, ndio maana tunahitaji kuilinda amani tuliyonayo kwa nguvu zote maana hiyo amani ikipotea hata pesa zako hazina thamani tena, utatumia wapi?
Tuheshimu serikali, tuheshimu askari suala la mapungufu kila mtu analo hata wewe lazima una mapungufu yako.

Cha kujua ni kwamba askari hapendwi kirahisi kama wengi wenu mnavyodhani


Ndiyo hili ambalo, watanzania wengi wanakuwa wanafiki.

Hata pale aliyepaki gari angeachiwa bila kukamatwa bado wangesema kwa unafiki kwa mfano, majembe na polisi bila kumkamata na kumpeleka huyo jamaa kituoni bado huu uzi ungekuwa na lawama kwa polisi na majembe kuwa hawawakamati vigogo na wenye hela.

Ila polisi wasilaumiwe tu bila, watu /wananchi kuangalia nini kilichopelekea hali hiyo ikatokea wao wanakaa kuangalia kama dosari .
 
Duu hizi bunduki mbona zinatumika vibaya?
Wangeenda Kibiti kule kufanya mazoezi ya kutumia silaha. Nguvu yotee ya nini na mtu hajabeba hata jiwe?

Ngoja tusubiri atachukuliwa hatua gani na mkuu wake wa kazi.
 
Wewe kwa akili yako unadhani kua na akili ni kumshabikia mtu aliyeonesha dharau kwa askari polisi.

Hata wewe nakuhakikishia siku ukionesha dharau mbele ya askari yeyote utaumia, vinginevyo omba Mungu askari wote utakaokutana nao wawe ni wapole 100%
Siku nikikutana nao naamini hawa failure wote watakuwa wanapalilia shambani bila pensheni
 
Askari umjibu kama mke mwenza alafu atulie tu?

Naona hukuwahi kupitia hata jkt wewe.

Ingewezekana watu wote wangepitia jkt wajue namna ya kudeal na askari.
Mambo ya kiraia na uaskari ni tofauti mno kuliko mnavyopiga kelele hapa JF.
Polisi pia anatakiwa kuheshimu raia, mali zao na kuzingatia sheria wakati wa majukumu yao. Hapo hapakuwa na sababu yoyote iliyomlazimisha kupiga risasi hewani, ni matumizi mabaya ya silaha, upotevu wa risasi na pia ni ishara ya udhaifu na uoga kwa mapolisi wetu. Nahisi ndio maana wakikumbana na maadui wenye silaha huwa wanadhurika kirahisi.
 
Unaweza kuniambia yule jamaa aliyekua anawasogelea polisi alikua anasema maneno gani?

Msikilize utamsikia.Issue itasimama pale pale kuheshimiana ndilo kuna jenga Taifa.Polisi hawaheshimu RAIA hata siku moja.
 
Huyo ni polisi au kibaka?

Siku vibaka wakikukamata au wakamtenda vibaya nduguyo ndiyo utawakumbuka na kuwaheshimu polisi.

Leo, unaweza ukaongea na kutukana ila siku ukifikwa na majanga utawakumbuka polisi kwa machozi.
 
SERIKALI INATOKANA NA WANANCHI,IPO KWA AJILI YA WANANCHI,WENYE NAYO NI WANANCHI,WATUMISHI WA SERIKALI NI WATUMISHI WA WANANCHI HIVYO WANANCHI NDIO SERIKALI.
Wakiambiwa elimu elimu elimu, wanajua ni kujua kusoma na kuandika.
 
Huyo ni polisi au kibaka?

Siku vibaka wakikukamata au wakamtenda vibaya nduguyo ndiyo utawakumbuka na kuwaheshimu polisi.

Leo, unaweza ukaongea na kutukana ila siku ukiwa majanga utawakumbuka polisi kwa machozi.
 
Kama wanyama.
Hisia Nyingi, akili kidogo.
Kila kitu ni "personal"!
 
Siku vibaka wakikukamata au wakamtenda vibaya nduguyo ndiyo utawakumbuka na kuwaheshimu polisi.

Leo, unaweza ukaongea na kutukana ila siku ukiwa majanga utawakumbuka polisi kwa machozi.
Mi sina shida na polisi lakini nashida na wendawazimu waliovaa sare za kipolisi
 
Wakati wowote anapohitaji kufanya hivyo kwa lengo la kulinda usalama kwa kadri ya ujuzi aliofundishwa.

Sisi tunataka polisi wafanye kazi inayotufurahisha Never askari kupendwa ni ndoto duniani kote.

Yule jamaa kaonesha jeuri na kiburi cha pesa, huwezi kujibu nyodo kwa askari.

Haya mambo ndiyo yanamsumbua Manji mpaka leo, wenzake wote waliachiwa
Kwahiyo ukimjibu kwa nyodo polisi,risasi hewani!Mwishoni kamuweka chini ya ulinzi,mimi nilidhani hilo lingefanyika mapema kabisa na wala kusingekuwa na sintofaham uisiyo na kichwa wala miguu!Angalia video hii halafu linganisha na hiyo kwenye thread labda itakufungua macho usiendelee kuzungumza usichokijua!
 
Inasikitisha sanaaaaa! Nimemshangaa sana huyo askari kwakweli! anastahili achukuliwe hatua za kinidhamu
 
tunasubiri video
Huyo askari amevunja sheria,alikuwa hana haki ya kufanya yote hayo,hakuna mtu anaonesha kutaka kuleta hatari yeyote,inaonesha huyo ni tabia yake kuchukua hatua mikononi mwake,hii video ni tosha kuwa ushahidi,huyu Askari yuko hatiani,nimeona leo kurasini,mzaramo mmoja kapigwa na kuuwawa na askari Kwa kusingiziwa gaidi,ati sababu Ana ndevu,nchi hii inakwenda vibaya,utawala huu wa sasa unaendesha nchi kwa nguvu za mtutu.
 
Msikilize utamsikia.Issue itasimama pale pale kuheshimiana ndilo kuna jenga Taifa.Polisi hawaheshimu RAIA hata siku moja.
Kila mtu humlaumu askari wakati wa amani.
Kukichafuka ndio askari anaonekana muhimu na kuheshimika, kimsingi askari hapendeki kwa sababu anazuia mambo mengi yanayogusa maisha ya watu ya kila siku
 
Wakome wakome lisu aliwaambia wakitumaliza sisi wanawageukia ninyi. Wao walidhani n uendawazimu wake.sasa wavune walichopanda. Viva Magu viva. Viva udikiteta viva Eeh mama Weee peperusha bendera
 
I personally side former deputy by showing his integrit of Showing any thing..i belive he still posses a gun

Policeman believes he gonna be supported by their president..... he do not know that the government is always a double faces. Malima was a man during his time. Anyone can be a man

At least A. Malima considered he was arguing to stupid policeman,
 
Back
Top Bottom