Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hana,hataKutoa bunduki kwa mtu ambaye ana ata kiwembe in bonge la usengerema.Kuna kila haja ya kupitia upya mitahara, age na qualification za vijana wetu Wa jeshi la Polisi.
Ukiangalia kwa makini yule ni kijana chini ya 22 yrs na ni in take ya miaka 2 au 3 iliyopita.
Ukiona huelewi jambo,tambua kwamba liko nje ya uwezo wa uelewa wako.Unaandika mambo meengi halafu mashudu tupu. .
Mchana huu pamesikika milio ya risasi maeneo ya Masaki karibu na Double tree Hotel.
Yalikuwa ni majibizano kati ya Majembe Auction Mart waliokuwa wameambatana na Polisi walipojaribu kukamata gari lilokuwa limeegeshwa pembeni ya barabara hali ya kuwa Dereva yupo ndani.
Inasemekana gari lilikuwa la Mwanae Kighoma Malima aliyeenda IOM kufatilia ishu zake.
Mtu wa Majembe akavamia gari hilo na alipodaiwa kuonyesha vitambulisho aligoma kutoa ndio wananchi walipolizingira gari wakitaka kumpiga wakijua ni jambazi.
Polisi aliingilia kati na katika majibizano akafyatua risasi juu kumtishia ndugu Malima aliyekuwa hana hata silaha wala hakukuwa na mwananchi aliyekuwa na silaha.
Adam Kighoma Malima alikuwa mbunge wa jimbo la Mkuranga na Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, enzi za Kikwete. Anatokea katika chama cha CCM.
Yaani we acha tu hata wale wanaochekelea pale bungeni ipo siku yatawakuta haya.Wanadhani madaraka ni milele!ona Malima alivyofedheheshwa jana.Wamegeuziwa upanga,
tatizo wabongo tunashabikia siasa kaka umezungumza vizuri wabongo hatukuzoea kuheshimu utawala wa sheia sasa imefikia mahala tubadilikeeWatanzania tumezoea kuongea kwa fashion ya upepo wa kisiasa.
Kwa mtazamo wa haraka haraka wananchi walipomzingira mtu walijua ni mwizi na wangeweza kumuua sasa polisi kupiga risasi juu ni kwa nia ya kutawanyisha watu ili kuepusha kifo cha jamaa.
Fashion zingine zinatuvua nguo ni vema tukaachana nazo.
Tazama heading ya hii habari, risasi zarindima! Katika maelezo risasi moja ndiyo imepigwa hewani sasa risasi zirizolindima ni ngapi na ziko wapi katika maelezo?
Mwanzoni mwa habari, mleta mada anasema kumekuwepo na majibizano ya risasi, mwishoni anasema risasi moja ndiyo imefyatuliwa hewani, sasa hayo majibizano ya risasi ni baina ya polisi na nani? ikiwa mmiliki wa gari hakua na silaha na wananchi hawakua na silaha!
Mkuu ume panic tu..Ungeandika mambo yako machache bila kutukana ungeonesha hekima ila Kwa lugha yako hiyo chafu tarajia polisi kukukamata na kukufyatulia risasi.
Maana haya maneno ya kukashifu wengine hasa polisi wetu ndiyo yanayopelekea mfyatuliwe risasi baadye mnalialia bila kuangalia lugha zenu.
Asante sana, kwa kunitukana. Ila omba usikutwe na polisi kisha ukajisahau kuwa uko JF kumbe upo na polisi ukatukana mrejesho wake utaujua mwenyewe.
hawezi kufukuzwa kamwe maana risasi haijasababisha madharaHakuna watu wanaopewa training namna ya kukamata wahalifu au kudeal na RAIA kwenye msongamano kama polisi,Ila wanapenda Sana kujionyesha wao ndiyo Serikali. na huyu akifukuzwa kazi wengine watajifunza.
Mwenye Enzi Mungu ibariki nchi yangu Tanzania na watu wake milele yote katika jina la Yahushua ha Mashaich AMUN RA!
Inalekea huyo kijana wa polisi alikuwa na hasira kali!Haikuwa na umuhimu kwa Polisi kufyatua risasi juu kwa sababu hakuna aliyekuwa anamtishia au kutishia amani ya wananchi.
Ukiona huelewi jambo,tambua kwamba liko nje ya uwezo wa uelewa wako.
Janjab mimi niko upande wa Askari naomba usinilinganishe na hao wa ajabu!hawezi kufukuzwa kamwe maana risasi haijasababisha madhara
Bakari Malima jembe ulaya.
hawezi kufukuzwa kamwe maana risasi haijasababisha madhara