Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sekeseke lipi? U guess a wrong person. Mimi niko timamu kabisa.Nimefurahi kuona hatimaye umerudi rasmi JF baada ya kupotea kwa muda mrefu kutokana na lile ' sekeseke ' lako.
Sekeseke lipi? U guess a wrong person. Mimi niko timamu kabisa.
Alitakiwa aonyeshe kitambulisho but why alikataa?na kama yuko kazini kwa shughuli hiyo kitambulisho muhimu.maono yanguKwa maelezo haya, polisi hajafanya kosa kabisa kufyatua risasi hewani.
Kwa sababu, naona maelezo hapo yanasema wananchi walikuwa Karibu kujichukulia sheria mikononi.
Hivyo, polisi kuokoa maisha ya aliyedhaniwa ni jambazi ili asitolewe roho.
Au mi nimeelewa tofauti!?
Askari huyu anafaa kupelekwa kibiti.Inasikitisha kuona risasi ambazo serikali inagharamia pesa nyingi zinatumika visivyo kwa kutishia raia daah bongo kweli tunaenda mbali
Na usikute hadi wa leo hajajiendelezaUmenikumbusha mbali sana, mwaka 1992 yalipotoka matokeo yetu ya O-Level kuna jamaa yangu alikua amepata Division Four basi mzee wake kwa hasira akasema "hata sitaki kusikia mambo ya ku re-sit naliacha liende Polisi ili likajiendeleze lenyewe mbele ya Safari kama linadhani kulipa ada ni lelemama"
Wamejifunza kutoka kwa Harmorapa...
Muishie huko huko Tandahimba....huku mwendo wa risasi tu.Dar siyo sehemu salama ya kuishi
Mchana huu pamesikika milio ya risasi maeneo ya Masaki karibu na Double tree Hotel.
Yalikuwa ni majibizano kati ya PRE SCAN AUCTION MATT waliokuwa wameambatana na Polisi walipojaribu kukamata gari lilokuwa limeegeshwa pembeni ya barabara hali ya kuwa Dereva yupo ndani.
Inasemekana gari lilikuwa la Mwanae Kighoma Malima aliyeenda IOM kufatilia ishu zake.
Mtu wa Majembe akavamia gari hilo na alipodaiwa kuonyesha vitambulisho aligoma kutoa ndio wananchi walipolizingira gari wakitaka kumpiga wakijua ni jambazi.
Polisi aliingilia kati na katika majibizano akafyatua risasi juu kumtishia ndugu Malima aliyekuwa hana hata silaha wala hakukuwa na mwananchi aliyekuwa na silaha.
Adam Kighoma Malima alikuwa mbunge wa jimbo la Mkuranga na Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, enzi za Kikwete. Anatokea katika chama cha CCM.[/QUOTE]
GullamJF-Expert Member
- Vitendo kama hivi vya polisi kutumia bunduki hadharani kama Jeshi lisilokuwa na nidhabu ni aibu kubwa kwa Tanzania na itawaogooesha wawekezaji. Polisi wajifunze kuongea na watu bila ya kutumia bunduki na vitisho bila ya sababu Hii ni aibu kwa taifa na haioneshi kuwa Tanzania ni nchi yenye amani
#37
Today at 8:34 AM
Joined: Dec 1, 2013
Messages: 1,759
Likes Received: 568
Trophy Points: 280
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Na usikute hadi wa leo hajajiendeleza
Hiv mpaka ufike kwa Mh.Mwigulu hapa kati hakuna ngazi.Mwigulu kama kawaida kapiga kimya!