Masaki Mpya

Masaki Mpya

ilaz

Senior Member
Joined
Jul 13, 2017
Posts
100
Reaction score
61
Fika hadi Ununio usawa wa mahaba beach kabla ya kufika lami ya Ghome sekondari hapa nyuma kuna kalami kanaingia kulia. Kwa kweli nilibaki na mshangao tu. Upande wa kulia wa lami ni bahari na upande wa kushoto ni ghorofa tupu kama wamechaguana kujenga yale maeneo tena sio ghorofa za wasiwasi mpaka unaenda kukuta nyumba za Lugumi zilizopigwa mnada, njia inatokea Jkt hadi chuo cha TISS. Kwa kweli kuna watu wamechuma hela ile masaki original sasa hivi imebaki historia with old version buildings. Kuna ghorofa moja juu kabisa ina picha ya jani la bangi hahaha. Bongo ni zaidi ya uijuavyo na tofauti ya walionacho na wasionacho ni kubwa mnooooo.
 
kwakweli tofauti nikubwa mnooo
wasio zunguka katk hili jiji hawawezi lijua hilo ..kuna watu wanaishi bongo lakini wanajiona kama vile wapo Los Angeles wanakula raha..
 
Drainage system ni uchwara kawa kawaida.

Fika hadi Ununio usawa wa mahaba beach kabla ya kufika lami ya Ghome sekondari hapa nyuma kuna kalami kanaingia kulia. Kwa kweli nilibaki na mshangao tu. Upande wa kulia wa lami ni bahari na upande wa kushoto ni ghorofa tupu kama wamechaguana kujenga yale maeneo tena sio ghorofa za wasiwasi mpaka unaenda kukuta nyumba za Lugumi zilizopigwa mnada, njia inatokea Jkt hadi chuo cha TISS. Kwa kweli kuna watu wamechuma hela ile masaki original sasa hivi imebaki historia with old version buildings. Kuna ghorofa moja juu kabisa ina picha ya jani la bangi hahaha. Bongo ni zaidi ya uijuavyo na tofauti ya walionacho na wasionacho ni kubwa mnooooo.
 
Kwakweli panavutia sana. Especially serikali ikiweka na miundo mbinu kwenye mitaa patavutia zaidi. Kinachomis maeneo hayo ni water taxis kama zile za Venice
 
Ile lami wamepeleka wenyewe au manispaa ?
 
Sasa kuna eneo la Mbezi beach, salasala ukipandisha na njia ya lami kama unaenda mwisho wa lami hayo magorofa yaliyo jengwa huko ni kufuru yaan sheeedah. Alafu lami zimewekwa mpaka majumbani vigogo waliojenga uko ni sheda
 
Back
Top Bottom