Masaki na Oysterbay Baada ya Miaka 7 itakuwa ya wachina

The Dojin

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2026
Posts
437
Reaction score
782
Miaka saba mingi sana. Tayari Wachina wameenda kwa Meya kupeleka maombi yao Mikocheni ibadilishwe jina iitwe MikoChina Town
 
Tafuteni pesa badala ya kulalamika, bora hao wanajenga mji kuliko wahindi wanaong'ang'ania nyumba za NHC na Msajili wa nyumba, hakuna watu wasio na faida nchi hii km wahindi
Hawa wachina kazi yao ni moja tu wananunua wanaleta makontena
 
Kuna mchina niliongea nae akasema anashangaa nyumba au apartment kuwa $3000-5000 sehemu kama Upanga,Mikocheni au Masaki na watahakikisha apartment zinakuwa nyingi mpaka bei iwe $500. Je hilo sio jambo jema?
 
Masaki na Oysterbay late Mkapa aliwapa nyumba Watanzania. Pia Watanzania binafsi wanamiliki nyumba,wengi tu. Kujaa Wachina ni Watanzania wameamua kuuza mali zao. Tunamlaumu nani?
 
Hapo ndo hawa madalal njaa wanapiga vita wachina

Saf sana wajae kusiwe na hata mguu mmoja unaomilikiwa na nyani huko masak
 
Masaki na Oysterbay late Mkapa aliwapa nyumba Watanzania. Pia Watanzania binafsi wanamiliki nyumba,wengi tu. Kujaa Wachina ni Watanzania wameamua kuuza mali zao. Tunamlaumu nani?
Na kuna nyumba nyingi huko zinauzwa,mambo ya mirathi pia
Acha wauze wao si wameshindwa kuendeleza maeneo yao

Ova
 
Tafuteni pesa badala ya kulalamika, bora hao wanajenga mji kuliko wahindi wanaong'ang'ania nyumba za NHC na Msajili wa nyumba, hakuna watu wasio na faida nchi hii km wahindi
Labda hujui. Hizo Msajili wa Majumba na NHC zilijengwa na hao hao wahindi Nyerere akawanyang'anya nchi nzima na ndio sababu mpk leo hawataki tena kujenga wakihofia kurudi zile zama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…