Iyerdoy
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 4,090
- 5,248
Hakuna shida alimradi wanafuata Utaratibu uliowekwa Kisheria. Itafikia mahali wataomba uraia na wakipata uraia watakuwa na haki ya kuchagua au kuchaguliwa kwenye uongozi wa nchi hii. Sisi wabongo tutaendelea kubaki na Haki ya kulalamika.Habari wakuu,
Kwa kasi ya wachina kujenga na kununua apartment baada ya miaka saba sehemu hizi hazitakuwa sehemu ya Tanzania, mbaya zaidi sasa wameanza kujaza makontena,
Kwa sasa ile hadhi ya hizi sehemu mbili haina maana tena. Tunakoelekea pameanza kuwa kama Manzese tu
Soma Pia: Video: Ni kama masihara hivi lakini polepole Mikocheni na Masaki zinaenda kutawaliwa na Wachina