Masaki na Oysterbay Baada ya Miaka 7 itakuwa ya wachina

Masaki na Oysterbay Baada ya Miaka 7 itakuwa ya wachina

Masaki na Oysterbay late Mkapa aliwapa nyumba Watanzania. Pia Watanzania binafsi wanamiliki nyumba,wengi tu. Kujaa Wachina ni Watanzania wameamua kuuza mali zao. Tunamlaumu nani?
1. Tunamlaumu aliyesajili umiliki wa ardhi kwa foreigner kinyume na sheria.

2. Pili tunalaumu dola inayoruhusu foreigner kuzidi kukusanya nguvu ya kiuchumi na kununua mapande ya nchi yako ayakalie

Kuna siku watalingana na wataipiku hiyo political power yako.
 
Naona Morocco yote, Kuna wachina wamenunua sana pale. 2029 kitakuwa zaidi ya makumbusho
Best bite yenyewe warithi washabatua muda kanunua mwarabu,watoto,wajuku warithi no maelewano wameamua kupabatua
Upepo huko sahvi wa kuuza ni kila mahali ambayo ni prime area watu wanavuliwa tu

Ova
 
1. Tunamlaumu aliyesajili umiliki wa ardhi kwa foreigner kinyume na sheria.

2. Pili tunalaumu dola inayoruhusu foreigner kuzidi kukusanya nguvu ya kiuchumi na kununua mapande ya nchi yako ayakalie

Kuna siku watalingana na wataipiku hiyo political power yako.
Unaongea kwa hisia. Property developing companies ambazo zimesajiliwa Tz na ni kampuni za Tz ndio zinamiliki ardhi/majengo sio individual foreign nationals.
Hata point yako namba 2 hili ndio jibu lake.
 
Na kuna nyumba nyingi huko zinauzwa,mambo ya mirathi pia
Acha wauze wao si wameshindwa kuendeleza maeneo yao

Ova
Watoto wao wanasubiria teuzi na ajira za serikali Sasa hizi hazina pesa za kutosha kama kumiliki company.

Sector ya ujenzi ilivyo na pesa lakini wachina Ndio wanao faidi pesa za wa tz walipa Kodi.
Msasani b kuna mtaa kabisa wamotoa jina la kiswahili na kuweka la kichina.

Viongozi wengi hawana Elimu sahihi ya kuongoza nchi
 
Tafuteni pesa badala ya kulalamika, bora hao wanajenga mji kuliko wahindi wanaong'ang'ania nyumba za NHC na Msajili wa nyumba, hakuna watu wasio na faida nchi hii km wahindi
Msajili wa Majengo (Registrar of Buildings - RoB), ambayo wananchi wengi walizoea kuiita "Msajili wa Nyumba", ilishafutwa kisheria na majukumu yake yote yalikabidhiwa rasmi kwa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC).
 
Habari wakuu,

Kwa kasi ya wachina kujenga na kununua apartment baada ya miaka saba sehemu hizi hazitakuwa sehemu ya Tanzania, mbaya zaidi sasa wameanza kujaza makontena,

Kwa sasa ile hadhi ya hizi sehemu mbili haina maana tena. Tunakoelekea pameanza kuwa kama Manzese tu

Soma Pia: Video: Ni kama masihara hivi lakini polepole Mikocheni na Masaki zinaenda kutawaliwa na Wachina
Wao ndo wenye macho ya kuona fursa. Sasa kama Hadi Karne hii bado fursa zipo kwa viongozi wa makanisa akina Suguye kwanini tusitawaliwe na wachina?
 
1. Tunamlaumu aliyesajili umiliki wa ardhi kwa foreigner kinyume na sheria.

2. Pili tunalaumu dola inayoruhusu foreigner kuzidi kukusanya nguvu ya kiuchumi na kununua mapande ya nchi yako ayakalie

Kuna siku watalingana na wataipiku hiyo political power yako.
Yuyo jamaa ni dalali, hana maarifa sahihi ya uchumi wa Nchi yake,
Na unakuta watu kama hawa ni washauri wa viongozi, matokeo yake Nchi inaengeshwa kidalali.

2012, Israel iliwafukuza wachina wa wapishi kwenye migahawa ya wachina Nchi Israel, kwa kulinda maslahi na ajira za wananchi Wake. Imagine hawa ni wapishi TU, lakini wametimuliwa

Huku Bongo ss wachina,Ndio wanao secure zaidi ya 70% shughuli zote za ujenzi, wananunua estate kwa pesa zetu wenyewe na kubadilisha majina ya mitaa
 
Back
Top Bottom