Masaki na Oysterbay Baada ya Miaka 7 itakuwa ya wachina

Hakuna shida alimradi wanafuata Utaratibu uliowekwa Kisheria. Itafikia mahali wataomba uraia na wakipata uraia watakuwa na haki ya kuchagua au kuchaguliwa kwenye uongozi wa nchi hii. Sisi wabongo tutaendelea kubaki na Haki ya kulalamika.
 
Itafika na sisi tutaanza go bek to your kentry
 
Sasa utakuta kwenye familia
Kuna mtu anataka waingie JV,wengine wanasema hapana tuuze kila mtu asepe na chake
Tatizo ni familia zetu kutokuwa na msimamo
Mmoja utakuta kuna mmoja ndiyo anajifanya mjuaji mmiliki anawakandamiza wenzake,mwishowe watu wanaamua kuuza maeneo ambayo ni potential

Ova
 
Acha waje wawamshe na maeneo yabadilike
Waswahili wakiuza wataenda huko mbande, chanika,msongola
Wao si wameshindwa kushikamana bwana

Ova
 
Itafika na sisi tutaanza go bek to your kentry
Ni sawa ila ujue there's a cost. Utahitajika kulipa fidia. Labda iwe kwa wale wasiokuwa na Legal documents i.e. Wazamiaji/wahamiaji haramu.
 
Acha waje wawamshe na maeneo yabadilike
Waswahili wakiuza wataenda huko mbande, chanika,msongola
Wao si wameshindwa kushikamana bwana

Ova
Haha haha haha 😃 hii kauli ya wawamshe, inanikumbusha , kauli ya Mzee wa kuruhusu , aliruhusu wakimbizi na wa Asia kumiliki shughuli za uchumi TZ , ili ku waamsha wa bongo .

Matokeo yake ni uhujumu uchumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…