Masama home design, Sijaona kampuni ya Kitanzania zahidi ya hii

Masama home design, Sijaona kampuni ya Kitanzania zahidi ya hii

Moronight walker

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2021
Posts
3,103
Reaction score
4,704
Ukienda Instagram andika

"Masama home design" ni kampuni ya kitanzania inahisika na kusanifu majengo ya kisasa, ujenzi na interior design, mimi binafsi sijaona bado kampuni Tanzania zaidi ya hii kama ipo Tuzitaje tushindanishe na hii.

241085382_107486178336048_3632564227831553260_n.jpg
241008796_1600019090192780_5983761902761779640_n.jpg


 



 
Kwa hiyo wewe unataka battle au unatamgaza biashara , hujaeleweka bado mkuu.
 
Kwa hiyo wewe unataka battle au unatamgaza biashara , hujaeleweka bado mkuu.
Kampuni sio yangu na wala , hawanijui ila ninataka wanifanyie kazi yangu, natafuta kama kuna kampuni mzuri zaidi ya hii bro
 
Yeye anatangaza biashara ..wala sio kingine cha msingi alipie tangazo tu
Kampuni sio yangu bro , ila nimefika ktk maeneo yao kazi zao mzuri,
Ila ninataka nijue kama ipo mzuri zaidi ya hii, maana sijaona bado
 
Kawaida sana.
Hakuna kipya au kikubwa.
Mjini wamejaa vijana wengi sana wanafanya hizi kazi.
 
Back
Top Bottom