Moronight walker
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 3,103
- 4,704
Cheki mkuu InstagramMkuu sijaona kitu.. labda ungeweka link ya page za insta na facebook tuchambue wenyewe
Sent from my SM-N986B using JamiiForums mobile app
Kampuni sio yangu na wala , hawanijui ila ninataka wanifanyie kazi yangu, natafuta kama kuna kampuni mzuri zaidi ya hii broKwa hiyo wewe unataka battle au unatamgaza biashara , hujaeleweka bado mkuu.
Kumbe bado ata kazi moja hujafanya naoKampuni sio yangu na wala , hawanijui ila ninataka wanifanyie kazi yangu, natafuta kama kuna kampuni mzuri zaidi ya hii bro
Yeye anatangaza biashara ..wala sio kingine cha msingi alipie tangazo tuKumbe bado ata kazi moja hujafanya nao
Kampuni sio yangu bro , ila nimefika ktk maeneo yao kazi zao mzuri,Yeye anatangaza biashara ..wala sio kingine cha msingi alipie tangazo tu
Weka account atupie hela ya tangazo chakubanga wewe utopoloYeye anatangaza biashara ..wala sio kingine cha msingi alipie tangazo tu
Weka account atupie hela ya tangazo chakubanga wewe utopolo
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mfano, tunaombaKawaida sana.
Hakuna kipya au kikubwa.
Mjini wamejaa vijana wengi sana wanafanya hizi kazi.