Masanja akutana na Majeruhi wa Lucky Vicent nchini Marekani

Masanja akutana na Majeruhi wa Lucky Vicent nchini Marekani

Hiyo nguo sheria haimuhusu? Au ni ruhusa kuvaa ukiwa nje ya nchi.
Vinchi vya kibashite vina sheria nyingi za ovyo ovyo na kila kitu cha ovyo tu. Hapo utashangaa jamaa anasubiriwa kwa hamu ili apimwe mkojo! Wenzetu wala hawajali.

Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
 
Bwihi [emoji16] [emoji16]

Aisee.. Huenda kweli mkuu
 
Dhaaaaa!!! Katoto hako
Kazur cjui n wa kimbulu
Au kairaq dhaaa!!

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Mungu mkubwa! kumbe wamepona. Yule mwingine anaendeleaje
 
msemaji wa jeiwii lazima atatoa povu hapa....ni wakati wa yeye kuuza sura kwenye tv....suala sijui kavalia marekani sijui wapi...hilo hatalizingatia,la muhimu ni kutoa onyo kali.
883f5f4a221b4fdb0d9194a14d1209a2.jpg

masanja kama vp asirudi bongo na hili vazi....wanaweza wakamvizia hata airport wakampiga sachi halafu wakamkuta nalo....wakapata pa kuanzia.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] naomba swala ada kwa huyu mtoto,liwe jukumu langu.

Hakika sitadai malipo.
 
Wangekuwa bongo hawa watoto kuna ajabu lingetendeka,labda kama wangepewa panadol ila wangesubutu kufungua viungo tu,mtu angefunguliwa utumbo na kubadilishwa figo
 
Back
Top Bottom