Masanja akutana na Majeruhi wa Lucky Vicent nchini Marekani

Masanja akutana na Majeruhi wa Lucky Vicent nchini Marekani

Ila Sadia ni mcute! nimefurahi kuona smile like...si kama walivyoondoka ile siku! Mungu ni mwema.
 
msemaji wa jeiwii lazima atatoa povu hapa....ni wakati wa yeye kuuza sura kwenye tv....suala sijui kavalia marekani sijui wapi...hilo hatalizingatia,la muhimu ni kutoa onyo kali.
883f5f4a221b4fdb0d9194a14d1209a2.jpg

masanja kama vp asirudi bongo na hili vazi....wanaweza wakamvizia hata airport wakampiga sachi halafu wakamkuta nalo....wakapata pa kuanzia.
Hakuna sare ya JWTZ inayofanana hivyo

Delta Force
 
Kuna kiongozi mmoja mteule wa mkoa wa kaskazini akiwaona hao watoto wanatabasamu wakiwa Marekani anaumia sana. Maana ilikuwa ni kitega uchumi chake endapo wangeendelea kuwa Mt. Meru. Kama alivyofaidika kwa wale wenzao waliotangulia mbele ya haki.

Unamzungumzia mkuu wa mkoa wa Arusha?
 
Back
Top Bottom