upendodaima
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 4,078
- 4,504
Nguo ya jeshi lenu et eh!Sitashangaa jeshi likitoa taarifa kuhusu suruali aliyivaa Masanja. Inaweza kuambatana na onyo kali pia. Kosa likifanyika Marekani sheria za wapi zinatumika? Ikumbukwe hilo vazi ni la jeshi letu.
Vinchi vya kibashite vina sheria nyingi za ovyo ovyo na kila kitu cha ovyo tu. Hapo utashangaa jamaa anasubiriwa kwa hamu ili apimwe mkojo! Wenzetu wala hawajali.Hiyo nguo sheria haimuhusu? Au ni ruhusa kuvaa ukiwa nje ya nchi.
Bwihi [emoji16] [emoji16]Vinchi vya kibashite vina sheria nyingi za ovyo ovyo na kila kitu cha ovyo tu. Hapo utashangaa jamaa anasubiriwa kwa hamu ili apimwe mkojo! Wenzetu wala hawajali.
Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
We sikilizia tu akirudi. Diamond yalimkutaBwihi [emoji16] [emoji16]
Aisee.. Huenda kweli mkuu
Kweli wewe ni Pagan.Acheni ujinga, madaktari ndio wanawapigania mpaka wamepona hivyo
Mkuu kama huo uchunguzi wako utakuingizia hela nitakuunga mkono.Huyu Masanja huyu, Nitajaribu kumdadisi ni nani hapa Nchini. Watu wazima mtakuwa mmelewa.
Usinisahau kwenye Baraza Jipya.
Jibu la hekima kabisa.Mkuu nimekuelewa