Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,428
- 27,096
Kipindi najiunga twitters kitamb kidogo nilimfollow niwe nilikua na uhitaji wa different contents.Wabongo mna tabu sana. Sasa watu kama unawa-follow wa kazi gani? Namna pekee ya ku-deal na wachumia tumbo kama hawa ni kutowapa attention ya aina yoyote.
Masanja ni zuzumagicNgoma inogile kwa wachungaji wawili maarufu wa kanisa la Pentecoste.
Mchungaji Msigwa ndio ameanza uchokozi kwa kumwambia mchungaji mwenzake yaani Masanja kwamba jana alitia aibu kwa aliyoyafanya mbele ya marais watano.
Mchungaji Masanja naye akamjibu Msigwa huko huko twittani kwamba hata msanii wa vichekesho Cetrick aliwahi kujoke kuhusu vita ya Iraq mbele ya Bush akiwa Rais wa Marekani
Niombe tu baba askofu Mwamakula awasuluhishe hawa wachungaji.
Maendeleo hayana vyama!
Muuza ngadengaMasanja naye ni mchungaji ?
We unaonaje aliyoyazungumza pale ni sahihi?Lete ushahidi!
Wewe na huyo Masanja wote akili zenu ni sawa.Ngoma inogile kwa wachungaji wawili maarufu wa kanisa la Pentecoste.
Mchungaji Msigwa ndio ameanza uchokozi kwa kumwambia mchungaji mwenzake yaani Masanja kwamba jana alitia aibu kwa aliyoyafanya mbele ya marais watano.
Mchungaji Masanja naye akamjibu Msigwa huko huko twittani kwamba hata msanii wa vichekesho Cetrick aliwahi kujoke kuhusu vita ya Iraq mbele ya Bush akiwa Rais wa Marekani
Niombe tu baba askofu Mwamakula awasuluhishe hawa wachungaji.
Maendeleo hayana vyama!
Masanja anaganga njaa tu na anatafuta pa kutokea tuHakuna mchungaji hapo ni ujinga mtupu
Upo sahihi kabisaWote wanatafuta ugali wa watoto
Labda mchungaji wa mabataMasanja naye ni mchungaji ?
Masanja ni mjinga kama wengineMasanja mzaha sana.
Akikosaga hoja twitter anakimbilia kitufe cha BLOCK
Hopeless kabisa
Leaders Club!
Unazungumzia Ze Comedy?Leaders Club!
Ni kama mchungaji Msigwa!Masanja ana uvhubgaji gani darasa la nne b huyu?? Uchungaji ni process sio sawa na degree zenu za kuokota jalalani.
askofu majalala mwamakula hawezi kuwasuruhisha Yule,labda tumuombe askof gwajiNgoma inogile kwa wachungaji wawili maarufu wa kanisa la Pentecoste.
Mchungaji Msigwa ndio ameanza uchokozi kwa kumwambia mchungaji mwenzake yaani Masanja kwamba jana alitia aibu kwa aliyoyafanya mbele ya marais watano.
Mchungaji Masanja naye akamjibu Msigwa huko huko twittani kwamba hata msanii wa vichekesho Cetrick aliwahi kujoke kuhusu vita ya Iraq mbele ya Bush akiwa Rais wa Marekani
Niombe tu baba askofu Mwamakula awasuluhishe hawa wachungaji.
Maendeleo hayana vyama!
Kazi inaendeleaNchi hii ndiko ilikofikia....