Masanja amshukia mchungaji Msigwa wa CHADEMA kama tai, asema hata Cedrick aliwahi kujoke vita ya Iraq mbele ya Rais Bush

Wabongo mna tabu sana. Sasa watu kama unawa-follow wa kazi gani? Namna pekee ya ku-deal na wachumia tumbo kama hawa ni kutowapa attention ya aina yoyote.
Kipindi najiunga twitters kitamb kidogo nilimfollow niwe nilikua na uhitaji wa different contents.

Baadae mwamba nikamuweka sawa akanilamba block
 
Ngoma inogile kwa wachungaji wawili maarufu wa kanisa la Pentecoste.

Mchungaji Msigwa ndio ameanza uchokozi kwa kumwambia mchungaji mwenzake yaani Masanja kwamba jana alitia aibu kwa aliyoyafanya mbele ya marais watano.

Mchungaji Masanja naye akamjibu Msigwa huko huko twittani kwamba hata msanii wa vichekesho Cetrick aliwahi kujoke kuhusu vita ya Iraq mbele ya Bush akiwa Rais wa Marekani

Niombe tu baba askofu Mwamakula awasuluhishe hawa wachungaji.

Maendeleo hayana vyama!
Masanja ni zuzumagic
 
Wewe na huyo Masanja wote akili zenu ni sawa.

Yaani Masanja naye anaweza akatengeneza habari ya kuletwa hapa jf eti amemshukia mh Msigwa?
 
Ngoma inogile kwa wachungaji wawili maarufu wa kanisa la Pentecoste.

Mchungaji Msigwa ndio ameanza uchokozi kwa kumwambia mchungaji mwenzake yaani Masanja kwamba jana alitia aibu kwa aliyoyafanya mbele ya marais watano.

Mchungaji Masanja naye akamjibu Msigwa huko huko twittani kwamba hata msanii wa vichekesho Cetrick aliwahi kujoke kuhusu vita ya Iraq mbele ya Bush akiwa Rais wa Marekani

Niombe tu baba askofu Mwamakula awasuluhishe hawa wachungaji.

Maendeleo hayana vyama!
askofu majalala mwamakula hawezi kuwasuruhisha Yule,labda tumuombe askof gwaji
 
Masanja alipungukiwa na busara anajua impact ya vita kweli? Wakati mwingine ni heri akanyamaza tuu.
 
Back
Top Bottom