Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,428
- 27,096
Kipindi najiunga twitters kitamb kidogo nilimfollow niwe nilikua na uhitaji wa different contents.Wabongo mna tabu sana. Sasa watu kama unawa-follow wa kazi gani? Namna pekee ya ku-deal na wachumia tumbo kama hawa ni kutowapa attention ya aina yoyote.
Baadae mwamba nikamuweka sawa akanilamba block