Masanja ataonekana shujaa zaidi akiachana na Monica

Moja ya nyimbo yake mpya ina chorus hii nanukuu

"Monica wee sikuachii ,monica wee sikuachi hata waseme niniii sikuachiii......"
 
Aachane naye kwa lipi,ripoti si imetoka kwamba h awakuwa na mahusiano?,hayo mengine ni wewe na wa watu wa aina yako ndo mnataka mnalazimisha iwe vile nyie mnavyoamini.Mbona maisha yana mambo mengi sana,unapata wapi ujasiri wa kumuamulia mtu mwingine jinsi ya kuyaishi maisha yake?
 
Sijui lakini kama wewe unafamilia au la. unapata wapi ujasiri wa kulea watoto wa nje.

Mwanamke Tu mwenye watoto kuolewa ni bahati na sibu. Je aliyezaa watoto wote na mtu mwingine huku tayari mmeoona labda uwe zezeta ndo utavumilia. Hata malaika angemtosa huyu mwanamke.

Kwani Monica ana kitu gani cha ziada Hadi amzalilishe masanja kiasi hicho. Masanja ndo anamiliki uchumi wa familia, Mwanamke mpumbavu siyo wa kucheka naye.


Afu eti kuhusu watoto watalelewana Nani Monica atajua mwenyewe masanja siyo jukumu lake kulea watoto wa watu wengine.


Yaani kitu cha aibu Sana mkeo anazalishwa na wewe upo kweli tena watoto wawili..

Monica anabahati ingekuwa Kwa mwanaume mwingine tungekuwa tumeshaimba parapanda imelia
 
Monica ni X wako? Mbona umeandika kwa uchungu hivyo
 
Ring Leader Sasa Hivi Ni Monica Mwenyewe

Wanaume Tumeumbwa Mateso Kuhangaika
 
Mungu baba katika jina la mwanao bwana wetu yesu kristo nakuja kwako kwa maombi maalumu.
Mawaombea wanaume wote ulimwenguni wanyime vyote ila usiwanyime hivi vitu viwili

1: nguvu za kiume
2: vipesa vya matumizi visivyo vya kusuasua.

Mungu no 1&2 viwe sambamba kisikose kimojawapo.
Amina
 
Upumbavu wa hali ya juu kushabikia ndoa ya mtu ivunjike
 
Amina, asante kwa dua yako nzuri. Hivi vitu viwili vinatudhalilisha sana wanaume
 
Ujisikiliza ile audio mke wa Mwendazake anaeleza Monica na huyo hayati walikuwa wapenzi kabla na lilijulikana ila kuna wanawake wana ujasiri jamani mimi huyu wangu alinusa tu harufu ya Usaliti balaa lake nilikimbia kwetu kuokoa roho yangu sembuse kuzaaπŸ€·πŸΌβ€β™€οΈ
 
Simlazimishi Ila mda utongea. Lakini pia ni uzwazwa kugongewa Hadi mkeo anazalishwa afu unajiita we mtakatifu.
Kwa kugongewa mkewe, Masanja ana dhambi gani? Upendo unapimwa kwa uwezo wa kuvumilia na kusamehe.

Huenda wewe ni mpagani na hujui Biblia inasema nini.

1 Petro 4:8
[8]Zaidi ya yote iweni na juhudi nyingi katika kupendana; kwa sababu upendano husitiri wingi wa dhambi.
And above all things have fervent charity among yourselves: for charity shall cover the multitude of sins.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…