Masanja atua EFM

Wanamuita dady yaani.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Dola inakosea sana kuendelea kuruhusu utitiri wa huduma za kiroho zinazotolewa na wahudumu wasiyoelewa madhara ya huduma zao kwa jamii.

Tunaharibu jamii kwa makusudi.

Kwa ulimwengu ulivyo kwa sasa, tunatarajia uwepo wa vituo vingi vya 'huduma za ushauri nasaha.'
 
Waumini wao ni wabishi hao. Huwaambii kitu kuhusu hao "madady" wao.
 
Nimemuona kwenye kipindi cha magazeti akitangaza.

Bado zile elements za uchawa hazijamtoka.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Umenikumbusha kipindi Cha kampeni alikuwa anaenda kulala kwenye madaraja kumsifia jiwe
 
Waumini wao ni wabishi hao. Huwaambii kitu kuhusu hao "madady" wao.
Dola itoe maelekezo tu. Kwanini kwenye mambo mengine inatoa maelekezo. Kwanini huku ishindwe? Kuna matatizo mengine tunazalisha kwa makusudi tu.
 
Hata hivyo majizo ashazoea mapigo. Kipindi kile walisepa
1. Kitenge
2. Mwanaidi Suleman
3. Yusufu Mkule
4. akafuata Musa Mwakisu.
Halafu yanawashinda wanarudi Tena efm so ni wameombwa tu waende Kwa muda watarudi hakuna sehemu wanalipwa vizuri kama hapo walipohama na wanapewa ufree sana ,
 
Wanamuita dady yaani.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Nchi hii inawapumbavu wengi Sana kwa kweli.
Ifike Mahala hata kwenye maamzi ya kitaifa kama kupiga kula tugawe makundi ya watu. Maana Haiwezekani kura ya watu kama hao ziwe Sawa na watu wanao jielewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…