Masanja atua EFM

Masanja atua EFM

Nilufer

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Posts
9,603
Reaction score
13,654
Tukiwa bado tunashangaa uhamisho wa watangazaji kadhaa wa EFM akiwemo Maulid Kitenge. Leo Majizo kajibu mapigo kwa kumsajili Masanja kutoka wasafi.
Screenshot_20230424-133422.png
 
Wanamuita dady yaani.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Dola inakosea sana kuendelea kuruhusu utitiri wa huduma za kiroho zinazotolewa na wahudumu wasiyoelewa madhara ya huduma zao kwa jamii.

Tunaharibu jamii kwa makusudi.

Kwa ulimwengu ulivyo kwa sasa, tunatarajia uwepo wa vituo vingi vya 'huduma za ushauri nasaha.'
 
Waumini wao ni wabishi hao. Huwaambii kitu kuhusu hao "madady" wao.
 
Nimemuona kwenye kipindi cha magazeti akitangaza.

Bado zile elements za uchawa hazijamtoka.
😂😂😂 Umenikumbusha kipindi Cha kampeni alikuwa anaenda kulala kwenye madaraja kumsifia jiwe
 
Waumini wao ni wabishi hao. Huwaambii kitu kuhusu hao "madady" wao.
Dola itoe maelekezo tu. Kwanini kwenye mambo mengine inatoa maelekezo. Kwanini huku ishindwe? Kuna matatizo mengine tunazalisha kwa makusudi tu.
 
Hata hivyo majizo ashazoea mapigo. Kipindi kile walisepa
1. Kitenge
2. Mwanaidi Suleman
3. Yusufu Mkule
4. akafuata Musa Mwakisu.
Halafu yanawashinda wanarudi Tena efm so ni wameombwa tu waende Kwa muda watarudi hakuna sehemu wanalipwa vizuri kama hapo walipohama na wanapewa ufree sana ,
 
Back
Top Bottom