Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna watu wanaamini kupitia mahubiri ya masanja wataenda paradiso. Hahaha hahahaTukiwa bado tunashangaa uhamisho wa watangazaji kadhaa wa efm akiwemo Maulid Kitenge. Leo Majizo kajibu mapigo kwa kumsajili Masanja kutoka wasafi.
View attachment 2598103
Na yeye huwa anafanya miujiza?Ko mambo ya kanisa ameachana nayo
Dola inakosea sana kuendelea kuruhusu utitiri wa huduma za kiroho zinazotolewa na wahudumu wasiyoelewa madhara ya huduma zao kwa jamii.Wanamuita dady yaani.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Waumini wao ni wabishi hao. Huwaambii kitu kuhusu hao "madady" wao.Dola inakosea sana kuendelea kuruhusu utitiri wa huduma za kiroho zinazotolewa na wahudumu wasiyoelewa madhara ya huduma zao kwa jamii.
Tunaharibu jamii kwa makusudi.
Kwa ulimwengu ulivyo kwa sasa, tunatarajia uwepo wa vituo vingi vya 'huduma za ushauri nasaha.'
Ile spirit ndio ameenda nayo hadi studio.😂😂😂 Umenikumbusha kipindi Cha kampeni alikuwa anaenda kulala kwenye madaraja kumsifia jiwe
Dola itoe maelekezo tu. Kwanini kwenye mambo mengine inatoa maelekezo. Kwanini huku ishindwe? Kuna matatizo mengine tunazalisha kwa makusudi tu.Waumini wao ni wabishi hao. Huwaambii kitu kuhusu hao "madady" wao.
Masanja amechelewa tu kutambulishwa lkn Diamond ndiye aliyejibu mapigo kwa Majizo na si kinyume chake.Tukiwa bado tunashangaa uhamisho wa watangazaji kadhaa wa EFM akiwemo Maulid Kitenge. Leo Majizo kajibu mapigo kwa kumsajili Masanja kutoka wasafi.
View attachment 2598103
Halafu yanawashinda wanarudi Tena efm so ni wameombwa tu waende Kwa muda watarudi hakuna sehemu wanalipwa vizuri kama hapo walipohama na wanapewa ufree sana ,Hata hivyo majizo ashazoea mapigo. Kipindi kile walisepa
1. Kitenge
2. Mwanaidi Suleman
3. Yusufu Mkule
4. akafuata Musa Mwakisu.
Nchi hii inawapumbavu wengi Sana kwa kweli.Wanamuita dady yaani.
[emoji23][emoji23][emoji23]